Kwanini Taasisi za Serikali ambazo ni Autonomous hazitoi nafasi za kazi..?

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia.
Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine zinazopelekea staff numbers kupungua..!
Kwa mfano Taasisi kama
1. Bodi ya sukari(SBT)
2. TPDC
3. Tanzania Fertilizer Company (TFC)
4. UTT AMIS

Na zingine zenye mode kama hiyo.
 
Tuendelee kusubiri za halmashauri tukaijenge nchi ova.
 
Hapo waulizwe kijani ndo wanajua, wale wazee ndo wanapachika huko...nchi imefika pabaya hii, no wonder hakuna ufanisi kabisa.
 
Kikubwa hata side tusio na connection tunataka huko,, kwahiyo tutaishia kusaga meno tu Mkuu😁
 
Tpdc wanatoa
Kimbembe kiko kwa hawa
1.pssf
2.nhif
3.nssf
4.wcf
 
Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia.
Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine zinazopelekea staff numbers kupungua..!
Kwa mfano Taasisi kama
1. Bodi ya sukari(SBT)
2. TPDC
3. Tanzania Fertilizer Company (TFC)
4. UTT AMIS

Na zingine zenye mode kama hiyo.
Huko watu wanaitana watu wana watu wao. Hivyo usitegemee kuona ilo
 
Kwamba ni kimyakimya wanapeana ulaji au sio
Wanalinda mifumo ya taasisi, watu mlio nje ya mfumo mna chances za kuja kuharibu mifumo na siri za kitaasisi zilizowekwa kutokana na kukosa background za taasisi husika.
 
Sawa tajiri
 
Hao wenye background za Taasisi walizaliwa nazo, Au walipewa pale clinic?
 
Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia.
Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine zinazopelekea staff numbers kupungua..!
Kwa mfano Taasisi kama
1. Bodi ya sukari(SBT)
2. TPDC
3. Tanzania Fertilizer Company (TFC)
4. UTT AMIS

Na zingine zenye mode kama hiyo.

hyo ilikua zamani, saivi mchawi ni Utumishi.
 
Back
Top Bottom