Kwanini Taasisi za Serikali ambazo ni Autonomous hazitoi nafasi za kazi..?

Hao wenye background za Taasisi walizaliwa nazo, Au walipewa pale clinic?
Hujawahi kuwaza kwanini watu wa familia fulani unawaona sana kwenye kazi ya aina fulani. Ukiwaza kwa haraka haraka utasema ni kwa sababu wanapendelewa.

Kwa taarifa yako kama una kazi huko kwenye mfumo, ukiharibu basi ujue umewaharibia na ndugu zako pia. Ukifanya vizuri basi ume pave good way kwa ndugu zako pia.
 
Watanzania ndivo tulivyo, Mm nikiona Uhasibu unalipa ntashauri wadogo zangu woote wasome Finance.

Wakati yule masikini, hana ndugu walio tangulia wanajua mambo vizuri anajichagulia hovyo hovyo course za kusoma.

Ndo unakuta mtu kasomea petrolium chemistry huko, mara Mwalimu.
 
Na hakuna ubaya wowote kuwapa watu wako wa karibu hiyo career guidance, sasa sisi waswahili unakuta mtu akipata kuwa na ukaribu na familia za namna hiyo badala ya kupambana ajifunze mambo yao ya muhimu anaanza kutafuta access ya mambo ya kijinga jinga.
 
Back
Top Bottom