Huko watu wanaitana watu wana watu wao. Hivyo usitegemee kuona iloBaada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia.
Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine zinazopelekea staff numbers kupungua..!
Kwa mfano Taasisi kama
1. Bodi ya sukari(SBT)
2. TPDC
3. Tanzania Fertilizer Company (TFC)
4. UTT AMIS
Na zingine zenye mode kama hiyo.
Wanalinda mifumo ya taasisi, watu mlio nje ya mfumo mna chances za kuja kuharibu mifumo na siri za kitaasisi zilizowekwa kutokana na kukosa background za taasisi husika.Kwamba ni kimyakimya wanapeana ulaji au sio
Wanalinda mifumo ya taasisi, watu mlio nje ya mfumo mna chances za kuja kuharibu mifumo na siri za kitaasisi zilizowekwa kutokana na kukosa background za taasisi husika.
Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia.
Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine zinazopelekea staff numbers kupungua..!
Kwa mfano Taasisi kama
1. Bodi ya sukari(SBT)
2. TPDC
3. Tanzania Fertilizer Company (TFC)
4. UTT AMIS
Na zingine zenye mode kama hiyo.