Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu.
Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya OG kama unajipenda nenda kwenye hospitali ghali alteast kuna dawa kule vipodozi vingii ni feki wadawa wanatumia lakini ukiangalia impact yake wanatia huruma kwa kweli.
Haya ukienda kununua viwalo nguo yaani jinzi ukiifua mara moja tu maji yanakuwa kama mchuzi kwa kuchujia rangi tisheti, shati hadi boxa na kila kitu imebidi sasa nihamie kwenye mitumba mikali least nguo unafua na unavaa hata kwa muda fulani.
Vipuli mbalimbali vya magari, pikipiki feki, kitu unafungq asubuhi jioni tukutane kwa Mako Tiari kishazingua.
Electronic hizi TV, sabufa, simu hadi cable zoooteee ni feki, inauma, siku hizi hata kula kwenye migahawa naogopa unaweza kulishwa mchele wa plastiki and no body care, ndiyo maana magojwa ya visukari pressure, kansa zinaongezeka daily.
Kinachouma hizi mamlaka TBS, TMDA and a like zinatengewa mabajeti makubwa sana ila zipo tu watu wapo na vitambi vyao wanakula viyoyozi hawajali kabisa lakini Shirika la TRA wapo very punctual kwenye ukusanyaji wa kodi je hawa ni wachapakZi wazuri kiliko hayo mashirika mengine si waige mfano basi
Almost vitu vyote hivyo vinangia kupitia bandaging je hakuna ukaguzi unaofanyika mi Shenziii inaniuma sanasana.
Level ya Tanzania kugeuzwa dampo inaniuma sana na ndo maana boda boda wanakufa na kuua raia kila siku baada ya kunywa hizo pombe feki zisizofatiliwa. Kilichobaki sasa hivi ni kuishi kama digidigi.
Pia soma ~ Shigongo: Kuna Wafanyabiashara wanashirikiana na Viwanda Kushusha ubora wa Dawa Nchini