DOKEZO Kwanini Tanzania imekuwa kama dump la bidhaa feki, almost kila kitu sasa hivi ni feki?

DOKEZO Kwanini Tanzania imekuwa kama dump la bidhaa feki, almost kila kitu sasa hivi ni feki?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uzi ufungwe
Watz watu wa kulialia sana
Mchina ndiyo anawawezea

Ova
Hapana dunia nzima kwa sasa vitu vingi vinatoka china,hata nchi zilizoendelea wakulaumiwa ni Serikali inayoruhusu sio watanzania na kwataarifa yako havitoki china viwanda vipo hapohapo bongo.
 
Hapana dunia nzima kwa sasa vitu vingi vinatoka china,hata nchi zilizoendelea wakulaumiwa ni Serikali inayoruhusu sio watanzania na kwataarifa yako havitoki china viwanda vipo hapohapo bongo.
Bidhaa quality ya juu wabongo watamudu kununua lakini!??
Maana wabongo wengi wanapenda/uwezo wa kununua midosho

Ova
 
Mafuta ya kula feki, yananuka. Lakini tuwe wa kweli. Hata wewe ungekuwa unazalisha bidhaa feki kuna nchi nzuri za kuuza zaidi ya Tz na zingine za kusini mwa sahara? Watu wajinga, taasisi zao zimejaa wala rushwa na wanaagiza kila kitu.
Mazingira ya kulishwa takataka tumeyatengeneza wenyewe.
 
Shida sio wafanya biashara shida ni wateja, wateja wengi wanapenda vtu vizuri ila hawataki kutoa pesa ili wapate vtu vizuri

Sasa kutokana na ilo inakua ni ngumu sana kwa mfanya biashara kuleta vtu viwili og na fake so anaona ni bora alete fake sabu ndo inaenda og inaenda ila pole pole sana
Haujui kwamba kuna mamlaka za kulinda afya za walaji, ndiyo mantiki ya mada.

Inapotungwa sheria huwa ni kwa ajili ya kudhibiti mianya ya wajanja kama hiyo.

Sasa taasisi zilizopewa mamlaka hayo zinafanya nini?
 
Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu

Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya og kama unajipenda nenda kwenye mahospitali ghali alteast kuna dawa kule vipodozi vingiii ni feki wadawa wanatumia lakini ukiangalia impact yake wanatia huruma kwa kweli
Haya ukienda kununua viwalo nguo yani jins ukiifua mara moja tu maji yanakua kama mchuzi kwa kuchujia rangi tisheti, shat hadi boxa na kila kitu imebidi ss nihamie kwenye mitumba mikali least nguo unafua na unavaa hata kwa muda fulani.

Vipuri mbalimbali vya magar pkpikp feki feki kitu unafungq asubuhi jioni tukutane kwa mako tiari kisazingua

Electroniki haya matv mabufa simu hadi cable zoooteee ni feki feki inauma
Siku hizi hata kula kwenye migahwa naogopa unaweza kilshwa mchele wa plastiki and no body care
Na ndio maana magojwa ya visukari pressure, kansa zinaongezeka daily

Kinachouma hizi mamlaka TBS, TMDA and a like zinatengewa mabajeti makubwa san ila zipo tu watu wapo na vitambi vyao wanakula viyoyozi hawajali kabisa lakini Shirika la TRA wapo very punctual kwenye ukusanyaji wa kodi je hawa ni wachapakZi wazuri kiliko hayo mashirika mengine si waige mfano basi
Almost vitu vyote hivyo vinangia kupitia bandaging je hakuna ukaguzi unaofanyika mi Shenziii inaniuma sana sana

Level ya Tanzania kugeuzwa dampo inaniuma sana na ndo maana boda boda wanakufa na kuua raia kila siku baada ya kunywa hizo pombe feki zisizofatiliwa . Kilichobaki sq iv ni kuishi kam digidigi .
Kilichobakia original kaka ni muarobaini tuu
 
Nchi ambayo inajinasibu kukimbatia Wachina kama wawekezaji wakuu. Na ku facilitate imports za kila aina toka China🙌🙌
 
Back
Top Bottom