Hatari sana, mamlaka husika wanajua na wamekaa kimyaWaanzilishi wa bidhaa feki ni wafanyabishara wa kanda ya Kusini hao Wajinga na ndugu zao. Ndio walianza kuleta bidhaa duni pale Tunduma na kupitisha vipodozi feki na matairi used kutoka Kusini uko. mrangi anajua hii story.
Hao wafanyabishara wakauza sana na kutajirika mapema, na wateja wapuuzi wenye elimu duni wakawa wanalazimisha bidhaa yenye ubora wa juu iuzwe sawa na yenye ubora hafifu. "Mbona kwa Chivundu anatoa kama hii elfu 10 wewe elfu 17 unaniibia". Ndipo wafanyakazi wote wakaamua kushindana kwenye feki.
Mikoa ya Kusini kukutana na bidhaa halisi ni kazi sana. Kila kitu fake hata Colgate hata Vaseline vitu vidogo hivyo. Vipuri ndio kabisaa fake vibaya mno.
Mbona miaka ya 60s,70s,80sAfrica ni dampo la mataifa yaliyoendelea kutokana na umasikini mkubwa uliosababishwa na viongozi. 99% ya viongozi wa Africa ni takataka.
Jiulize pia kwanini miaka hiyo Kuna mataifa ambayo Kwasasa wapo mbali kiuchumi tulikuwa tupo nao sawa kiuchumi au tumewazidi Kwa wakati huo.Mbona miaka ya 60s,70s,80s
Early 90s tz tulikuwa tunatumia vitu brand new
Ova
Kusini (Lindi, Mtwara na Ruvuma) au nyanda za juu Kusini(Mbeya, Njombe, na Iringa).Waanzilishi wa bidhaa feki ni wafanyabishara wa kanda ya Kusini hao Wajinga na ndugu zao. Ndio walianza kuleta bidhaa duni pale Tunduma na kupitisha vipodozi feki na matairi used kutoka Kusini uko. mrangi anajua hii story.
Hao wafanyabishara wakauza sana na kutajirika mapema, na wateja wapuuzi wenye elimu duni wakawa wanalazimisha bidhaa yenye ubora wa juu iuzwe sawa na yenye ubora hafifu. "Mbona kwa Chivundu anatoa kama hii elfu 10 wewe elfu 17 unaniibia". Ndipo wafanyakazi wote wakaamua kushindana kwenye feki.
Mikoa ya Kusini kukutana na bidhaa halisi ni kazi sana. Kila kitu fake hata Colgate hata Vaseline vitu vidogo hivyo. Vipuri ndio kabisaa fake vibaya mno.
Daaaa kaka umenikumbusha mbali sana kuna siku nimeenda kununua charger ya simu sasa katika kutafiti niliambiwa charger zuri ni ORAIMO nikaenda dukan nikaipata kufika nyumban nimecharge simu zaida ya masaa 6 haijavuka hata 30% alafu imeshika moto balaa, kusoma vinzuri charger kumbe imeandikwa ni ORAIMA siyo ORAIMO alafu sasa cha ajabu kila kitu mpka lebo rangi ya box ni zile za ORAIMO og, nikabaki nacheka tu.Unanunua kebo ya tronic unaenda home unatumia kidogo unakuta imeshaungua unasoma vizuri hiyo kebo kumbe imeandikwa tronik.
Acha tu kaka na saiv wametuletea akili feki akili mnembe hata nguvu za kufikiria hatuna tena jap ni ya wotepoleni sana..rudini kwenye maisha ya nature
Nyanda za juu Kusini hiyo mkuu. Hasa kupitia border ya TundumaKusini (Lindi, Mtwara na Ruvuma) au nyanda za juu Kusini(Mbeya, Njombe, na Iringa).
Naomba ufafanuzi mkuu.
Ukishaona Nchi ambayo raia Hana thamani basi tegemea mambo kama hayo. Viongozi wetu wanawachukulia poa sana wananchi, hamna Cha kuwafanya watawajali vipi??Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu
Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya og kama unajipenda nenda kwenye mahospitali ghali alteast kuna dawa kule vipodozi vingiii ni feki wadawa wanatumia lakini ukiangalia impact yake wanatia huruma kwa kweli
Haya ukienda kununua viwalo nguo yani jins ukiifua mara moja tu maji yanakua kama mchuzi kwa kuchujia rangi tisheti, shat hadi boxa na kila kitu imebidi ss nihamie kwenye mitumba mikali least nguo unafua na unavaa hata kwa muda fulani.
Vipuri mbalimbali vya magar pkpikp feki feki kitu unafungq asubuhi jioni tukutane kwa mako tiari kisazingua
Electroniki haya matv mabufa simu hadi cable zoooteee ni feki feki inauma
Siku hizi hata kula kwenye migahwa naogopa unaweza kilshwa mchele wa plastiki and no body care
Na ndio maana magojwa ya visukari pressure, kansa zinaongezeka daily
Kinachouma hizi mamlaka TBS, TMDA and a like zinatengewa mabajeti makubwa san ila zipo tu watu wapo na vitambi vyao wanakula viyoyozi hawajali kabisa lakini Shirika la TRA wapo very punctual kwenye ukusanyaji wa kodi je hawa ni wachapakZi wazuri kiliko hayo mashirika mengine si waige mfano basi
Almost vitu vyote hivyo vinangia kupitia bandaging je hakuna ukaguzi unaofanyika mi Shenziii inaniuma sana sana
Level ya Tanzania kugeuzwa dampo inaniuma sana na ndo maana boda boda wanakufa na kuua raia kila siku baada ya kunywa hizo pombe feki zisizofatiliwa . Kilichobaki sq iv ni kuishi kam digidigi .
Nchi ikivamiwa na wachina kwisha habari yake. Wachina wanawajua viongozi wa kiafrica nje ndaniChanzo ni sisi, na watu wametumia fursa hiyo kuingiza vitu chipu kwa bei rahisi... Hizo mamlaka labda wameamua tutumie vitu feki
Wakulaumiwa ni TBS,wanalipwa mishahara mikubwa,kazi hawafanyi kabisa!Hakika hii ni hatari unanunuwa kifaa cha umeme au bomba wakati wa kufunga tu kinakukatikia biashara inaishia hapo,haya ni matokeo ya kuwa kila mtu mfanya biashara,fikilia unga wa sembe kila mwenye kumudu kununuwa machine ya kusaga unga anakuwa na kiwanda cha unga na kuufunga anaingiza sokoni,ukinunuwa kiroba hakijaisha tayari kuna wadudu na unga ushaoza. Kwa hakika tupo pabaya sana.
Humu JF kila siku watu wanaponda wafanyabiashara kuuza vitu bei ghali. Wabongo ni sababu wafanyabiashara kuleta vitu fake. Wabongo wengi hawana hela ya kununua vitu OG. Ukileta vitu OG vitakudodea wale wale wanaokwambia tuletee vitu OG hutawaona na watakimbilia kununua midosho.Waanzilishi wa bidhaa feki ni wafanyabishara wa kanda ya Kusini hao Wakinga na ndugu zao. Ndio walianza kuleta bidhaa duni pale Tunduma na kupitisha vipodozi feki na matairi used kutoka Kusini uko. mrangi anajua hii story.
Hao wafanyabishara wakauza sana na kutajirika mapema, na wateja wapuuzi wenye elimu duni wakawa wanalazimisha bidhaa yenye ubora wa juu iuzwe sawa na yenye ubora hafifu. "Mbona kwa Chivundu anatoa kama hii elfu 10 wewe elfu 17 unaniibia". Ndipo wafanyabiashara wote wakaamua kushindana kwenye feki.
Mikoa ya Kusini kukutana na bidhaa halisi ni kazi sana. Kila kitu fake hata Colgate hata Vaseline vitu vidogo hivyo. Vipuri ndio kabisaa fake vibaya mno.
Au TroncUnanunua kebo ya tronic unaenda home unatumia kidogo unakuta imeshaungua unasoma vizuri hiyo kebo kumbe imeandikwa tronik.