Mtu wa Mara
JF-Expert Member
- Apr 10, 2026
- 599
- 1,233
Sasa hivi hadi kuna nguo za ndani za kike akiivaa unasema ewaa kitu hii hapa, mvue sasa daah🙈🙈
Miaka hiyo hata gari used ni adimu nasikia.Mbona miaka ya 60s,70s,80s
Early 90s tz tulikuwa tunatumia vitu brand new
Ova
Hata wauzaji wa jezi fake huuza zaidi ya zile original. Wauzaji wa nguo midosho hawa kina Fred Vunjabei na Room of Jeans wanatangaza jeans 10,000 na 15,000 wanauza sana sababu demand ndio ipo. Jeans original zinauzwa kwa mzunguko mdogo. Wauza raba kina David Sportswear wanauza michina ya bei ndogo kwa kasi zile bidhaa branded kama Nike, Adidas.Humu JF kila siku watu wanaponda wafanyabiashara kuuza vitu bei ghali. Wabongo ni sababu wafanyabiashara kuleta vitu fake. Wabongo wengi hawana hela ya kununua vitu OG. Ukileta vitu OG vitakudodea wale wale wanaokwambia tuletee vitu OG hutawaona na watakimbilia kununua midosho.
Si kweli.Mchina mchina huko
Tz ni dampo!
Mnaletewa vitu mnazoweza ku afford maana mkiletewa bidhaa zenye standard hamtaweza nunua mtalialia
Ova
Rushwa imetamalaki kila kona taifa linaangamia.Mamlaka za kudhibiti ubora zipo lakini zinafanya kazi kwa manufaa binafsi
Shida sio wafanya biashara shida ni wateja, wateja wengi wanapenda vtu vizuri ila hawataki kutoa pesa ili wapate vtu vizuri
Sasa kutokana na ilo inakua ni ngumu sana kwa mfanya biashara kuleta vtu viwili og na fake so anaona ni bora alete fake sabu ndo inaenda og inaenda ila pole pole sana
Wala sio kweli ni kawaida watu kutaka vitu bei poa duniani kote,ndio maana hata nchi za wenye akili kuna maduka maalum ya vitu bei poa na hata vyakura bei poa,lakini haina maana havisimamiwi,wawe wanajiuzia tu hapana serikali zao zina jukumu la watu wao.Shida sio wafanya biashara shida ni wateja, wateja wengi wanapenda vtu vizuri ila hawataki kutoa pesa ili wapate vtu vizuri
Sasa kutokana na ilo inakua ni ngumu sana kwa mfanya biashara kuleta vtu viwili og na fake so anaona ni bora alete fake sabu ndo inaenda og inaenda ila pole pole sana
Kiatu 80k wanakuambia o.gSio kweli mkuu, shida ni wafanya biashara na mamlaka za uthibiti.
Mfanya biashara analeta kitu feki, ili apate faida kubwa kuliko uhalisia.
Mbaya zaidi, hakuna kusema ukweli kwamba hiki ni feki hiki ni OG.
Mimi nimeacha kununua Kadeti na Viatu vya Dukani, Haiwezekani ninunue kiatu 80k kabla hakijachakaa kishabanduka sorry
Kadeti kabla haijachakaa, ishapauka haitamaniki.
Njoo kwenye Mabati nayo, Mvua mbili Tayari juu hakutamaniki
Kiatu 80k wanakuambia o.g
😄 .... huwezi pata kiatu o.g kwa bei hiyo lazima utauziwa
Midosho kama ya kina vunja nani etc
Ova
Tatizo kubwa sasa ni tumewakaribisha Wachina hadi kwenye kutengeneza vyakula, wale jamaa hawajali afya, wao ni pesa tuMbona miaka ya 60s,70s,80s
Early 90s tz tulikuwa tunatumia vitu brand new
Ova
Hata kama ila feki za sasa zimezidiHumu JF kila siku watu wanaponda wafanyabiashara kuuza vitu bei ghali. Wabongo ni sababu wafanyabiashara kuleta vitu fake. Wabongo wengi hawana hela ya kununua vitu OG. Ukileta vitu OG vitakudodea wale wale wanaokwambia tuletee vitu OG hutawaona na watakimbilia kununua midosho.
Itakuwa, sisi tukianza kukataa vitu feki vitakosa soko, vikikosa soko vitaacha kuingiaNchi ikivamiwa na wachina kwisha habari yake. Wachina wanawajua viongozi wa kiafrica nje ndani