Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Siku njemaMission ikifanywa na wakuu wa hizi nchi mbili tu hakuna mtu atajua kwamba Tz ndyo wamehusika kusambaratisha M23. Ni akili tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku njemaMission ikifanywa na wakuu wa hizi nchi mbili tu hakuna mtu atajua kwamba Tz ndyo wamehusika kusambaratisha M23. Ni akili tu
Nilikua natafuta hii comment tubasi tena nazima dataUmepata msukumo gani kuamini Tanzania itashinda
SawaElewa lengo la uvamizi
unajua ngoja nikusaidie kitu unaona Afrika hii? Kila nchi ina morphology yake ya umbo sura na muonekano , hiyo kusema wavae gwanda la Frdc ndio kwamba?Watu wanavaa magwanda ya FRDC wanaingia kazini
Kwanini?Nilikua natafuta hii comment tubasi tena nazima data
Jibu ni ndio. Kuna mtu unamjua vita haijamuathiri!? Angalia Russia. Si babu kubwa!? Unaweza ukafanya maajabu, lakini lazima na wewe madhala uonje. Au hata kupata uaiyoyatarajia. Japo, hiyo Rwanda na M23, hawana shida na Tanzania kiasi cha kuihatarisha.M23 na Rwanda wakipata nguvu wataihatarisha Tz?
So, kwa akili zako unahisi hilo jambo serikali ililishindwa eh!? Sio kila unalofikilia linawezekana. Tanzania ni nchi iliyo chini ya mamlaka mengine. Hizo ni ndoto tu.Wazo zuri. Sijui tunafeli wapi??? Kwanza ingeboost ajira kishenzi hapa nchini. Unaweza ukatengeneza Tena jeshi la vijana 300,000 hadi 500,000 kwa ajili ya Congo TU. Unaingia mkataba kulipwa kwa madini au mazao ya misitu kama mbao. Then unauza nje.
Yaani kama nchi hatuko strategically kabisa kabisa.
Haya bwana. Je, kwanza chanzo cha M23 ni nini? Kwa hiyo, nchi zote hata za SADC zilizokataa kupeleka majeshi ni wajinga eh!? So, raisi Samia unaona umemzidi akili sana, kwamba hajui sababu ya kutowapeleka? Unahitaji apeleke bataliani ngapi? Kwani, Samia ana mamlaka ya kuamuru jeshi kuoigana vita isiyoihusu Tanzania? Burundi ilienda wazi. Leo iko wapi? Bro, usitumie mihemuko, vitani hazipigani sifa. Leo hii ukiulizwa mbona Ukraine ndogo lakini Russia imeshindwa, una jibu!?Mission ikifanywa na wakuu wa hizi nchi mbili tu hakuna mtu atajua kwamba Tz ndyo wamehusika kusambaratisha M23. Ni akili tu
Acha basi colonial mentality. Hata kama Mataifa makubwa yanasapoti. We are sovereign, Congo has the right to defend itself and we have a right as a partner in East Africa Community to lend a hand.Akili huna mzee unatafuta vita na France sio yaani njaa zako ukaponee congo eti endelea kuiingiza Chaka nchi mfaransa aipoteze unafikiri m23 ni vibaka
Acha basi colonial mentality. Hata kama Mataifa makubwa yanasapoti. We are sovereign, Congo has the right to defend itself and we have a right as a partner in East Africa Community to lend a hand.So, kwa akili zako unahisi hilo jambo serikali ililishindwa eh!? Sio kila unalofikilia linawezekana. Tanzania ni nchi iliyo chini ya mamlaka mengine. Hizo ni ndoto tu.
Niliwahi ongeza jambo kama hili ila likapuuzwa.Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
NdioHapa inamaana Tz ipigane na Kagame na M7
maana hawa ndiyo hiyo M23
Wataingilia mlango gani?Amani ya Tanzania inalindwa kwa kila namna,ukiomba kulinda amani DR CONGO manake unakaribisha hao waasi kuingia nchini, sisi kama nchi, tuingie huko kwa mgongo wa EAC majeshi ya tanzania ndo yaingie huko.
Putin aweze ila sisi tusiweze?Congo ajenge mahusiano na Russia tu
Puttin ndo anaweza kuwaondosha m23 asbh
🚮🚮Hatuwawezi m 23
Wale wanafadhiliwa na pk hadi France, England n. K
mlango wa kulipa kisasi.Wataingilia mlango gani?
Upi?mlango wa kulipa kisasi.