John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Hata hao wenye mavyeti ya elimu kubwa nao hakuna kitu, ni bure kabisa.Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Kuna Ukweli mchungu kwenye Hoja yako hii.Tas
Ukitaka ujue hii tasnia ya habari kuvamiwa ni kuona Wanahabari nguli wamekimbia news room na wajikita kufanya mambo tofauti moja yapo ni kuwa machawa mfano Ayoub Rioba sasa hivi kawa mlamba viatu na wala sio mkosoaji tena. Jukwaa na Wahariri ndio wala rushwa wakubwa hawana kitu chochote. Angalia wenzetu akina Michael Hanna yupo field na anapiga kazi. Huku studio wamejaa wapuuzi wakubwa akina Eddo Kumwembe, dereva taksi Zomboko nae napewa kipindi, akina JoseMara nae ni mwandishi. Hii tasnia imesex vibaya sana akina Mayala wanaangalia tu.
No sio tunaangalia tuu, sisi waandishi wengi na watangazaji wa zamani, tumekuwa overtaken by technology, social media imechange the media landscape, sasa kila mtu ni mwandishi, kila mtu ni mtangazaji, market foces zinafanya watangazaji ki komedi komedi ndicho walaji wanachotaka. Mwaka huu 2025 najiandaa kutundika daluga!.Hii tasnia imesex vibaya sana akina Mayala wanaangalia tu.
Hii tasnia ya kitaaluma kama zilivozingine, sasa anayeruhusu haya maajabu nadhani anafahamika. Mbona hatuoni daktari fake kazini, askari na wengine.Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Sasa wasikilizaji wenyewe ni wakazi wa temeke na kisemvule. Huhitaji degree kuwatangazia as long as Una umbeya wa kutosha na habari za Simba na yanga full stopHivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Ni hivi.Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Sio kweli Mkuu, Mostly adult populations hawaangalii hayo mavipindi, ukiachana na akina mama.Hii mada ni sensitive sana ila utaona inakosa wachangiaji wengi!
Kwa mtizamo wangu walaji (wasikilizaji/watazamaji) wa bidhaa ndio kimekuwa chanzo cha hili tatizo.
Unadhani siku hizi kuna mtu mzima timamu anapoteza muda wake kusikiliza vipindi vya redioni au kutazama tv siku hizi?Sio kweli Mkuu, Mostly adult populations hawaangalii hayo mavipindi, ukiachana na akina mama.
Hii ni kwa sababu, Hayana mvuto masikioni wala machoni.
Mbona Kenya hakuna huu ujinga na wana uhuru wa habari mara 1000 zaidi ya Tanzania?Yes litajengwa
Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.
Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
Kwani wewe siyo kilaza?Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Kuna tofauti gani na hata humu JF?Unadhani siku hizi kuna mtu mzima timamu anapoteza muda wake kusikiliza vipindi vya redioni au kutazama tv siku hizi?
90% ya vipindi vya local tv na redio ni entertainment tu.
Ukifanya comparison ya media ya Kenya na Tanzania, utakutana na tatizo jingine, media yao ni academic credentials kwanza, ndipo kije kipaji, media yetu ni kipaji tuu bila academic credentials, kwa bongo kila mtu ni mwandishi, ni mtangazaji!, na soko la walaji wa media contents ndio vitu wanataka, vitu petty issues, Simba na Yanga, Daimondi na Wema, Zali, Zuchu, Hamonize na Kajala etc!.Mbona Kenya hakuna huu ujinga na wana uhuru wa habari mara 1000 zaidi ya Tanzania?