Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Hata hao wenye mavyeti ya elimu kubwa nao hakuna kitu, ni bure kabisa.
 
Tas

Ukitaka ujue hii tasnia ya habari kuvamiwa ni kuona Wanahabari nguli wamekimbia news room na wajikita kufanya mambo tofauti moja yapo ni kuwa machawa mfano Ayoub Rioba sasa hivi kawa mlamba viatu na wala sio mkosoaji tena. Jukwaa na Wahariri ndio wala rushwa wakubwa hawana kitu chochote. Angalia wenzetu akina Michael Hanna yupo field na anapiga kazi. Huku studio wamejaa wapuuzi wakubwa akina Eddo Kumwembe, dereva taksi Zomboko nae napewa kipindi, akina JoseMara nae ni mwandishi. Hii tasnia imesex vibaya sana akina Mayala wanaangalia tu.
Kuna Ukweli mchungu kwenye Hoja yako hii.

Kiuhalisia, Diploma ya Uandishi wa Habari ya Bw. Tido Mhando imetoa matokeo mazuri zaidi kwenye tasnia hiyo ya Habari kuliko PhD ya Dkt.Ayub Rioba Chacha.
Kuna Ushahidi wa wazi kabisa kwenye suala hili
 
Hii tasnia imesex vibaya sana akina Mayala wanaangalia tu.
No sio tunaangalia tuu, sisi waandishi wengi na watangazaji wa zamani, tumekuwa overtaken by technology, social media imechange the media landscape, sasa kila mtu ni mwandishi, kila mtu ni mtangazaji, market foces zinafanya watangazaji ki komedi komedi ndicho walaji wanachotaka. Mwaka huu 2025 najiandaa kutundika daluga!.
P
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Hii tasnia ya kitaaluma kama zilivozingine, sasa anayeruhusu haya maajabu nadhani anafahamika. Mbona hatuoni daktari fake kazini, askari na wengine.
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Sasa wasikilizaji wenyewe ni wakazi wa temeke na kisemvule. Huhitaji degree kuwatangazia as long as Una umbeya wa kutosha na habari za Simba na yanga full stop
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Ni hivi.

Ukiwa na wananchi wengi wasio na elimu, wanaopenda mzaha kuliko professionalism, hilo ndilo soko lako.

Mfanyabiashara mwenye redio itakubidi utafute watangazaji wa aina hiyo pia.

Suluhisho si kutafuta watangazaji wenye elimu.

Unaweza kuwa na watangazaji wenye elimu wanaongea Hegelian Dialectic, Immanent Critique na logical fallacies. Na watu wengi wadio na elimu wadiwaelewe wakawapotezea.

Suluhisho ni kuongeza elimu ya watu wote nchi nzima, utajikuta standards za watangazaji zinaongezeka tu automatically.
 
Wakusikiliza na kutazama mambo serious ni wakutafuta kwa tochi so automatically wanahabari vilaza ndio wanaonekana kufit.
 
Ukitaka kujua kwanini tunahitaji kukodi wataalam wa mitaala wa kimataifa haraka sana watujenge upya ni mpaka ufike kusanyiko la Mwamposa!
Utaondoka na dondoo moja muhim kwamba watanzania kiwango cha ujinga[ignorance] kimepanda kias cha kuwasha taa ya May day!
Nawaza ujinga wa hivi ukifikia kiwango cha kuzalisha wapumbavu itakuweje.
Mbaya zaidi wa kunusuru jamii nao wamo humo humo au basi ni wanufaika pia.
 
Hii mada ni sensitive sana ila utaona inakosa wachangiaji wengi!
Kwa mtizamo wangu walaji (wasikilizaji/watazamaji) wa bidhaa ndio kimekuwa chanzo cha hili tatizo.
Sio kweli Mkuu, Mostly adult populations hawaangalii hayo mavipindi, ukiachana na akina mama.

Hii ni kwa sababu, Hayana mvuto masikioni wala machoni.
 
Kosa lilianza siku waliopomua kuwa uandishi wa habari ni kwa watu waliofeli,ambao hawana pa kwenda. Taaluma nyingine pamoja na mabadiliko ya Kila siku ya Dunia, mbona akina baba levo wameshindwa kupenya. Au tuseme uandishi siyo taaluma ndiyo maana kila mtu anaweza kuwa mwandishi.
 
Sio kweli Mkuu, Mostly adult populations hawaangalii hayo mavipindi, ukiachana na akina mama.

Hii ni kwa sababu, Hayana mvuto masikioni wala machoni.
Unadhani siku hizi kuna mtu mzima timamu anapoteza muda wake kusikiliza vipindi vya redioni au kutazama tv siku hizi?
90% ya vipindi vya local tv na redio ni entertainment tu.
 
Yes litajengwa

Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.

Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
Mbona Kenya hakuna huu ujinga na wana uhuru wa habari mara 1000 zaidi ya Tanzania?
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Kwani wewe siyo kilaza?

What if taifa zima ni vilaza
 
Unadhani siku hizi kuna mtu mzima timamu anapoteza muda wake kusikiliza vipindi vya redioni au kutazama tv siku hizi?
90% ya vipindi vya local tv na redio ni entertainment tu.
Kuna tofauti gani na hata humu JF?

JF ya Leo siyo sawa na ya 2007-2015

Sisi wote vilaza tu
 
Mbona Kenya hakuna huu ujinga na wana uhuru wa habari mara 1000 zaidi ya Tanzania?
Ukifanya comparison ya media ya Kenya na Tanzania, utakutana na tatizo jingine, media yao ni academic credentials kwanza, ndipo kije kipaji, media yetu ni kipaji tuu bila academic credentials, kwa bongo kila mtu ni mwandishi, ni mtangazaji!, na soko la walaji wa media contents ndio vitu wanataka, vitu petty issues, Simba na Yanga, Daimondi na Wema, Zali, Zuchu, Hamonize na Kajala etc!.
P
 
Back
Top Bottom