Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kuna akina Edah Sanga walitendea haki tasnia hii, lakini hivi sasa angalia ilivyodharaulika yaani ni ujinga wa kwenda mbele lakini ili haya yafanyika lazima tutoke kwenye huu mkwamo wa katiba lazima tupate katiba mpya. Iwabane wanasiasa wanapindisha mambo.Kuna Ukweli mchungu kwenye Hoja yako hii.
Kiuhalisia, Diploma ya Uandishi wa Habari ya Bw. Tido Mhando imetoa matokeo mazuri zaidi kwenye tasnia hiyo ya Habari kuliko PhD ya Dkt.Ayub Rioba Chacha.
Kuna Ushahidi wa wazi kabisa kwenye suala hili