The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Uko sahihi.Nchi za wenzenu kuna kitu kinaitwa finance. Unachukua kwa mkopo. Unaweka deposit kama 10% then inayobqki unalipa kidogo kidogo kulingana na aina ya gari.
Still gari kubwa ni wenye pesa tu watawezana na malipo yake ya mwezi.
Hii ipo hata cmc,Nissan ila unaweza kuambiwa kwa mwezi ulipe $1500 hapa Tz unafikiri kwa vipato vya waTz wengi ni rahisi kutenga $1500 kwa ajili ya makato tu? Bado mafuta,wewe na familia hamjala hamjalala,watoto hawajaenda shule etc.
Tz purchasing power ndogo sana.
Nchi zilizoendelea watu hawanunui magari kwa cash, wananunua on credit, unaweka down payment asilimia kadhaa unakabiliwa gari unalipa kwa mwezi kiasi flani, CMC wanayo hiyo huduma.
Shida kama ulivyosema ni makato, mfano uambiwe ukatwe $2,000 kwa mwezi ambayo ni 5.3m kwa sasa unaitoa wapi?
CMC wanauza zero kilometa cars, tena zile za south Afrika zenye zero import duties kama ford ranger, ford Everest, Toyota Fortuner nk shida iko kwenye CIF yake bei ni balaa.
Lakini pia serikali yetu ndio inachangia haya, ingeweka incentives za kikodi za watu kutoagiza magari ya kizamani, sasa ajabu Tanzania uagize gari jipya kodi yake usipime, uagize kuu kuu kodi yake ni balaa, hakuna nafuu ya kodi hivyo tunakimbilia nafuu ya CIF ambayo ndio magari used ya mwaka 1988.