Bongo hamna magari mengi.
Jiji la watu milioni 8 na magari hayafiki milioni 3 unasemaje kuna magari mengi?
Mtazamo wa watu ni kuwa na magari chakavu kunakosababishwa na kodi kubwa. Hao hao walio na uwezo wa kununua chakavu kodi zingekua fair wangenunua magari yasiyoenda age sana.
Serikali inge restrict gari kuingia iwe si juu ya miaka mitano. Mfano kwa 2024 gari inayoruhusiwa iwe 2019 kwenda juu.
Na hapo wapunguze makodi makubwa kama wanamkoa nani sijui kumbe tunazidi kuchafua mazingira.
Hawa hawa serikali wanahimiza cashless transfer huku wanakuwekea tozo kibao ili usifanye cashless. Sijui tukoje sisi.