Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
pole wewe unaesubiri kitu cha kusadikika. Kumbe una master ya education! Ulipoteza mda. Sina master na wala sifikirii kusomea master ya education.Pole mkuu inaonyesha siku ukisikia masters degree inawekewa muundo wa kiutumishi utachanganyikiwa kabisa, jikubali acha kuonea wivu vitu usivyo na uwezo navyo..umeshindwa kusoma tulia
Haina soko ndio maana wengine ni walimu wakuu cheo ambacho hata diploma wanakitumikia.
Soma master zenye akili zitakazokufungulia njia sio kukuongezea ulalamishi ns msongo wa mawazo.
Tumia elimu yako ya master kuwa mbunifu sio mlalamishi. Unaonekana ukipewa cheo kikubwa utaiba sana, kufidia ada yako.
Pole tena