Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Bora tu usisome bakia hvohvo., Waache wenye kuzisoma wasome
... 😅 mtu ana masters lakini ukiambiwa ukafundishe sekondari unamicha na kubaki ukivizia uteuzi wilayani na mkoani, ... tunajua una cheti ila elimu hata ya form VI inatia mashaka!
 
Usitake kusikia unachotarajia tu!

Jifunze namna ya kukabiliana na hoja nzito bila mihemko na matusi !

Tunapaswa kubadili namna yetu ya kufikiri juu ya mambo na Pia namna zetu za kutenda ndipo tutapata matokeo mazuri ya tofauti tofauti yenye tija na yenye kuweza kupimika kwa kizazi cha sasa na vijav
Hoja nzito zianzishie uzi wake.. mbona unatangatanga Sana tabia za wanafunzi zimekuathr nn maana naona naongea na mtoto
 
... 😅 mtu ana masters lakini ukiambiwa ukafundishe sekondari unamicha na kubaki ukivizia uteuzi wilayani na mkoani, ... tunajua una cheti ila elimu hata ya form VI inatia mashaka!
Rudia kusoma ulicho andika Nani amekufundsha kubold maneno. Walimu bwana kwahyo unahisi hatutaona
 
Masters Degree ni 🔥
Ukipata nafasi soma
 
Back
Top Bottom