Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Labda ntakuwa nili reply kimakosa. Kuna mtu hapo sliandija eti walimu waongezewe credits za kujiunfa ns chuo ndoo nikakoti kuwa kapuyanga kwa sababu mtu hajiungi bachelor bila kukosa vigezo vya TCU.
Basi tuishie hapo, wenye nchi wenyewe wapo huko wametulia hawana
mda na sisi.
Pamoja mkuu
 
Hivi kukagua shule ina vyoo vingapi,madarasa mangapi, mwalimu kafundisha vipindi vingapi diploma haitoshi?
Msilinganishe ualimu ns uinjinia, ili mtu adizaini daraja la fly over inabidi afanye mahesabu mazito. Ualimu unahitaji elimu ndogo tu hata digrii ni kubwa sana lsbda vyuoni huko.
Wahuni mna mdharau sana

Uwezo wa kupiga mahesebu ya hilo daraja kayatoa wapi

Wana mna madharau hadi mbingu inawashangaa😄
 
pole wewe unaesubiri kitu cha kusadikika. Kumbe una master ya education! Ulipoteza mda. Sina master na wala sifikirii kusomea master ya education.
Haina soko ndio maana wengine ni walimu wakuu cheo ambacho hata diploma wanakitumikia.
Soma master zenye akili zitakazokufungulia njia sio kukuongezea ulalamishi ns msongo wa mawazo.
Tumia elimu yako ya master kuwa mbunifu sio mlalamishi. Unaonekana ukipewa cheo kikubwa utaiba sana, kufidia ada yako.
Pole tena
Wewe jamaa ni mjinga tu.
 
Kwa vyeti cha kuungaunga?!

Halafu kwa fani zipi Kwa mfano?

Kifupi siyo rahisi kiivyo!
Yani mentality uliyonayo wewe ndyo waliyonayo maboss huko maofisin, Wakiona mtu amehamia ana masters/PhD watampiga fitna mpaka ajute.. Kama wew hapo umekomaa na hoja wakati hata haikuhusu pimbi mkubwa we!
 
Hivi mwalimu akishapata Masters si anaweza omba nafasi vyuoni akawe assistant lecturer? Au?
Inawezekana wako maprofesa wengi wa zamani vitivo vya elimu walianza kuwa walimu wa grade IIIA A na wengine walianza na diploma

Ila lazima wakupige interview kwanza
 
Yani mentality uliyonayo wewe ndyo waliyonayo maboss huko maofisin, Wakiona mtu amehamia ana masters/PhD watampiga fitna mpaka ajute.. Kama wew hapo umekomaa na hoja wakati hata haikuhusu pimbi mkubwa we!

Elimu inapaswa kukuwezesha kukabiliana na hoja na sio mihemko na matusi!

Matusi hutoka kwa mtu mufilisi wa hoja!

Tunapaswa kulumbana kwa hoja na sio viroja na matusi!

I am matured enough siwezi kwazwa na matusi!

Sanasana huwa namhurumia mwenye kutukana Maana anajirosha na kuonesha u-childish wake mbele za watu!
 
Sasa unatoa hoja gani zaidi ya kubwabwaja tu hapa Kama mlevi..kiazi we
 
Sasa unatoa hoja gani zaidi ya kubwabwaja tu hapa Kama mlevi..kiazi we

Dhahabu itabaki kuwa dhahabu hata ikipakwa tope!

Katika kusoma kwako ualimu ulifundishwa kuwa kiazi kinaweza kuandika Na kujibishana nacho?

Unashindwa kujizuia kuficha hisia zako za kukuonesha udhaifu wako ?
 
Watu tunajadili ishu serious onyesha kujali basi syo unajizungusha tu hapa na kukejer watu, Kama ishu haikuhusu soma then tulia
 
Mfumo wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana!
Sijui hata waanzie wapi?!

Nchi za wenzetu wanaosomea ualimu huwa ni top cream one [emoji3516]

Lakini bongo mtu ikishindikana vyote ndipo anaenda ualimu.

Fikiria zao la watu wanaotokana na mfumo wa hivyo wanakuwaje?
 
Kwanini usianzishe post mpya inayohusu hayo unayoyasema. Mbona mgumu kuelewa
 
Kwanini usianzishe post mpya inayohusu hayo unayoyasema. Mbona mgumu kuelewa

Usitake kusikia unachotarajia tu!

Jifunze namna ya kukabiliana na hoja nzito bila mihemko na matusi !

Tunapaswa kubadili namna yetu ya kufikiri juu ya mambo na Pia namna zetu za kutenda ndipo tutapata matokeo mazuri ya tofauti tofauti yenye tija na yenye kuweza kupimika kwa kizazi cha sasa na vijavyo.
 
Back
Top Bottom