Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Pamoja mkuu
 
Wahuni mna mdharau sana

Uwezo wa kupiga mahesebu ya hilo daraja kayatoa wapi

Wana mna madharau hadi mbingu inawashangaa😄
 
Wewe jamaa ni mjinga tu.
 
Kwa vyeti cha kuungaunga?!

Halafu kwa fani zipi Kwa mfano?

Kifupi siyo rahisi kiivyo!
Yani mentality uliyonayo wewe ndyo waliyonayo maboss huko maofisin, Wakiona mtu amehamia ana masters/PhD watampiga fitna mpaka ajute.. Kama wew hapo umekomaa na hoja wakati hata haikuhusu pimbi mkubwa we!
 
Hivi mwalimu akishapata Masters si anaweza omba nafasi vyuoni akawe assistant lecturer? Au?
Inawezekana wako maprofesa wengi wa zamani vitivo vya elimu walianza kuwa walimu wa grade IIIA A na wengine walianza na diploma

Ila lazima wakupige interview kwanza
 
Yani mentality uliyonayo wewe ndyo waliyonayo maboss huko maofisin, Wakiona mtu amehamia ana masters/PhD watampiga fitna mpaka ajute.. Kama wew hapo umekomaa na hoja wakati hata haikuhusu pimbi mkubwa we!

Elimu inapaswa kukuwezesha kukabiliana na hoja na sio mihemko na matusi!

Matusi hutoka kwa mtu mufilisi wa hoja!

Tunapaswa kulumbana kwa hoja na sio viroja na matusi!

I am matured enough siwezi kwazwa na matusi!

Sanasana huwa namhurumia mwenye kutukana Maana anajirosha na kuonesha u-childish wake mbele za watu!
 
Sasa unatoa hoja gani zaidi ya kubwabwaja tu hapa Kama mlevi..kiazi we
 
Sasa unatoa hoja gani zaidi ya kubwabwaja tu hapa Kama mlevi..kiazi we

Dhahabu itabaki kuwa dhahabu hata ikipakwa tope!

Katika kusoma kwako ualimu ulifundishwa kuwa kiazi kinaweza kuandika Na kujibishana nacho?

Unashindwa kujizuia kuficha hisia zako za kukuonesha udhaifu wako ?
 
Watu tunajadili ishu serious onyesha kujali basi syo unajizungusha tu hapa na kukejer watu, Kama ishu haikuhusu soma then tulia
 
Mfumo wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana!
Sijui hata waanzie wapi?!

Nchi za wenzetu wanaosomea ualimu huwa ni top cream one [emoji3516]

Lakini bongo mtu ikishindikana vyote ndipo anaenda ualimu.

Fikiria zao la watu wanaotokana na mfumo wa hivyo wanakuwaje?
 
Kwanini usianzishe post mpya inayohusu hayo unayoyasema. Mbona mgumu kuelewa
 
Kwanini usianzishe post mpya inayohusu hayo unayoyasema. Mbona mgumu kuelewa

Usitake kusikia unachotarajia tu!

Jifunze namna ya kukabiliana na hoja nzito bila mihemko na matusi !

Tunapaswa kubadili namna yetu ya kufikiri juu ya mambo na Pia namna zetu za kutenda ndipo tutapata matokeo mazuri ya tofauti tofauti yenye tija na yenye kuweza kupimika kwa kizazi cha sasa na vijavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…