Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Bora tu usisome bakia hvohvo., Waache wenye kuzisoma wasome
... πŸ˜… mtu ana masters lakini ukiambiwa ukafundishe sekondari unamicha na kubaki ukivizia uteuzi wilayani na mkoani, ... tunajua una cheti ila elimu hata ya form VI inatia mashaka!
 
Hoja nzito zianzishie uzi wake.. mbona unatangatanga Sana tabia za wanafunzi zimekuathr nn maana naona naongea na mtoto
 
... πŸ˜… mtu ana masters lakini ukiambiwa ukafundishe sekondari unamicha na kubaki ukivizia uteuzi wilayani na mkoani, ... tunajua una cheti ila elimu hata ya form VI inatia mashaka!
Rudia kusoma ulicho andika Nani amekufundsha kubold maneno. Walimu bwana kwahyo unahisi hatutaona
 
Masters Degree ni πŸ”₯
Ukipata nafasi soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…