Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Aise ndugu we mkali
 

Swali zuri
 
Kwa hiyo makanisa yanayojiita ya kilokole yamekopi na kupaste taratibu zote za kanisa katoliki ila wamegeuzia gia angani kwa kuomba na kulialia kwa sauti na kuacha kunywa bapa japo wachache bado wana gonga bapa!!!

Kwa hiyo, Daaaaah.... Ngoja niishie hapa.

Masiah Yesu mwana Mungu uwe ndani yangu.
 
Mkuu,
AROON

Aiseeeeh...

Heshima yako mkuu.

Kwa hiyo taratibu zote hizo katoliki nao walichakachua kutoka sherehe pori !???

Sasa wolokole nao wamekopi na kupaste huko kwao ila wameongeza vionjo vya kuomba kwa sauti na kulialia!!?

Nitarudi badae.
 
Mwezi wa sita, , means YESU alizaliwa NJITI?
Pasaka inategemea kalenda ya Kanisa kkatoriki
 
 
Nashukuru kwa mada hii nzuri, japo inaonekana ya kawaida ila imebeba siri nzito ya kanisa katoriki! pasaka hutegemea equinox siku ambayo mchana na usiku huwa sawa ndo pia huwa siku ya pasaka! chunguza utakuja kuleta majibu hapa ndyo maana tarehe hubadirika badirika kila mwaka! siri wanayo jesuits! nilipewa hyo Elimu nikachoka! ndo maana mimi huwa sinaga muda na hayo mavitu kabsa
 
Lakin pasaka ilikuwepo enzi na enzi
pasaka iliyoadhimishwa kabla ya kristu ni ile ya wana wa israel ambayo waliiadhimisha kama ukumbusho wa jinsi Mungu aliwakombia kutoka utumwani misri hivyo walikuwa wakila mkate usiotiwa chachu na mboga chungu...

pasaka ya leo hii ni kuadhimisha ufufuko wa kristu kama ishara ya
zama mpya na kuushinda utumwa wa shetani kama kristu alivyoishinda mauti ...hivyo huwa kuna matukio maalumu kutoka alkhamia kuu hadi ijumaa kuu ya kusulubiwa kwake na hata jumatatu ya pasaka katika ufufuko wake hivyo, kanisa huteua week husika ili kuleta mlinganyo wa matukio hayo na hii huanzia katika uteuzi wa siku ya kufunga ....
 
Mama Maria alipata mimba mwezi wa sita, na mtoto YESU mwezi wa dec 25 kazaliwa,, sasa Itakuwa alizaliwa NJITI, na hyo mfanyie editing
Miezi iliyotumika ni ya kiyahudi in utofauti sana na hii ya kwetu bosi. Nakushauri tafuta vitab kama unataka kujielimisha.
 
Wapinzani wa Katoliki ni Wasabato Na Waislamu tu.Wengine wote mbwembwe tu
Chagua maneno vizuri,
Upinzani lina 'ukakasi' kiduchu.

Nijuavyo Mie;
Waislam wanatofautiana kiimani na Wakristu.
Hao wengine sijui.
Si kuwa eti waislam ni wapinzani wa Wakristu au Dini yoyote nyingine hiyo si kweli.
 
Pasaka pass over ilikuwepo kabla ya kanisa katoriki. Kusema dunia nzima inafuata utaratibu wao ni upotofu.
Inawekana kabsaa kuwa kuna mambo ya kishetani ya miungu yameingia ktk hiyo siku kwa lengo la kupotosha watu. Lakini tangu zamani utaratibu was pasaka ni siku ya kwanza ya juma rejea biblia na kimsingi hii ndo inayojenga Wakristo wote duniani kutumia Jumapili kama siku maalum ya kukutana kuabudu.

Unachitakiwa kujua ni kwamba mara nyingi kuna ufanano hutengenezwa au coincidence zinazofanana ili kupotosha habari za ufalme wa Mungu lakini ukiwa makini hakusumbui. Ndiyo maana krissmass inachanganywa na mizimu sawa na hiyo paska sawa na kuzaliwa kwa Yesu wengine wanamuita Issa bin Mariam lakini ni watu wawili tofauti ukiwa makini utagundua hata tofauti ya Allah na Mungu anayeabudiwa na wakristo. Haya mambo yanepangwa vizuri kupotosha watu wasio na msingi ktk neno. Krissmass njema
 
Sio wakristo wote kwa sababu waothodoks wa mashariki husherekea Christmas january

Ni kwa sababu inajulikana kristo alifufuka jumapili au siku ya kwanza katika juma
So ni lazima jumapili itokee tarehe yoyote
Hata hiyo Christmas imepangwa kusherekewa tarehe 25 lakini siki za juma lazima zitofautiane inaweza kuwa siku yoyote katika juma
 
Chagua maneno vizuri,
Upinzani lina 'ukakasi' kiduchu.

Nijuavyo Mie;
Waislam wanatofautiana kiimani na Wakristu.
Hao wengine sijui.
Si kuwa eti waislam ni wapinzani wa Wakristu au Dini yoyote nyingine hiyo si kweli.
Nashukuru kwa kunisahihisha
 
Mama Maria alipata mimba mwezi wa sita, na mtoto YESU mwezi wa dec 25 kazaliwa,, sasa Itakuwa alizaliwa NJITI, na hyo mfanyie editing
Kwanza sio kweli mama maria alipata mimba mwezi wa sita bali huo mwezi ni miezi 6 ya ujauzito wa elizabeth mkewe zakaria ndio malaika alitumwa kwa maria kwenda kumpasha habari maria na sio kushika mimba
Isome biblia kwa mtiririko anza luka 1/21- mpaka 35 utaelewa kwa nini hiyo miezi ilitajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…