Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ooh ahsante sanaHapana mwezi wa Nissan ni mwezi wa Kwanza mkuu narudia tena kukuambia hilo na haihusiani na miezi ya Kirumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh ahsante sanaHapana mwezi wa Nissan ni mwezi wa Kwanza mkuu narudia tena kukuambia hilo na haihusiani na miezi ya Kirumi
Hawa watu hawafikirii sawasawa.Mkuu wanaleta Loggical fallacies kwenye Facts inayoonekana 😅😅
Unataka kuniambia kalenda ya sasa ya kiyahudi ni sawa na ya zamani ?Hakuna mwezi ulioongezwa Mkuu!
It was Just a pinch of changing the day..
Kutoka Julian Calenda kwenye Gregory ni kama wiki kadhaa tu zilikuwa skipped not kuongezwa
Kwani Easter maana yake ni nini?UKo sawa kabisa Na hilo sipingi..
Lakini nichosema kulikuwa na haja gani ya Kubadili jina Kutoka Paska kuwa Easter?
Kama Mungu aliamuru Ifanyike Tarehe anayotaka Yeye Then kwanini Walibadilisha??
Bro, Easter haihusiani na pasaka na haipo katika Biblia. Binafsi sijui ilipotokea na wala sijuagi maana yake labda unifundishe leo kiongozi. Ila nifahamucho, tunakumbuka Ukombozi pitia "damu ya mwana kondoo". Kama ambavyo damu ya Mwanakondoo iliwaokoa wana wa Israel toka utumwani Misri, ndivyo nayo damu ya mwana kondoo wa Mungu imetuokoa na kututuoa utumwani. Mengine siyajui na sitaki kuyajua. Hata ukinifundisha, nitayaachia hapa hapa JF. 😀😃😄😁😆Passover (Paska) ni Kumbukumbu Ya Mikate isiyotiwa chachu na Divai na ilisherekewa kama Kumbukumbu ya ukombozi kutoka Misri kwenda kanaani..
Easter ni Kumbukumbu siku ya Kufa na kufufuka kwa yesu..
Mkuu hizi siku ni Mbili tofauti tusipindishe kwa wale wasiojua
Unatumia Calendar gani?Great Thinkers; Leo nina swali ama muono wa hizi sikukuu za Kiblblia.
Tuanze na kitabu cha Kutoka 12: 1 Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.
3 Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, mwana-kondoo kwa watu wa nyumba moja;
4 na ikiwa watu wa nyumba ni wachache kwa mwana-kondoo, basi yeye na jirani yake aliye karibu na nyumba yake na watwae mwana-kondoo mmoja, kwa kadiri ya hesabu ya watu; kwa kadiri ya ulaji wa kila mtu, ndivyo mtakavyofanya hesabu yenu kwa yule mwana-kondoo.
Mwaka huu tumesheherekea Pasaka mnamo kuanzia tarehe 29 Machi hadi 01 April. Mwaka 2023 Pasaka ilianza tarehe 07 April hadi 09 April.
Kuna kitu hakipo sawa kama endapo tutatumia akili zetu vizuri tutaweza kung'amua kuwa Wazungu wameingiza upagani kwenye Neno la Mungu.
Nini Mtazamo wako kwenye shifting dates za Pasaka.
Wacha weeeeeeHawa watu hawafikirii sawasawa.
Wanajaribu kutafuta maelezo uchwara uchwara tu.
NIssan ni mwezi wa kwanza wa kiyahudi na March ni mwezi wa Tatu wa Kirumi,Oooh..kuna sehemu niliona kama Nissan ni mwezi march kumbe ni mwezi wa kwanza..ahsante Mkuu
Oooh sawa hapa sasa imekaa vzrNIssan ni mwezi wa kwanza wa kiyahudi na March ni mwezi wa Tatu wa Kirumi,
ni kama mtu aseme mwezi wa Shabani ni mwezi February..
Sio sawa kwa sababu February ni mwezi wa kirumi na Shabani ni mwezi wa Kiarabu (Kiislamu)
Mkuu, unajua msingi wa mada ni ku-attack ukristo. Obvious dhidi ya dini nyingine ikiwemo na uislamu.Mkuu wanaleta Loggical fallacies kwenye Facts inayoonekana 😅😅
Na hawa wa orthodox nao imekaaje maana wana tarehe zao pia za pasaka na Christmas , nao ni wakatolikiNIssan ni mwezi wa kwanza wa kiyahudi na March ni mwezi wa Tatu wa Kirumi,
ni kama mtu aseme mwezi wa Shabani ni mwezi February..
Sio sawa kwa sababu February ni mwezi wa kirumi na Shabani ni mwezi wa Kiarabu (Kiislamu)
Upo sawa kabisa mkuu.Pasaka ni agizo. Kuabudu Jumapili ni kukumbuka siku aliyofufuka kwake Yesu ni sawa tuabudu katika mwanzo mpya wa siku baada ya kuishinda mauti. Kusheherekea kuzaliwa kwa Kristo ni Agizo la malaika "Furaha kuu kwa ulimwengu, kwani leo amezaliwa Yesu aliye mkombozi wa ulimwengu" Luke 2:10.
Kuhusu "siku na majira ya sherehe", hatusheherei siku wala majira ila "tunasheherekea tukio". Nafikri nami nimechangia kidogo mkuu.
Hapana sio sawa mkuu..Unataka kuniambia kalenda ya sasa ya kiyahudi ni sawa na ya zamani ?
Yeah mkuu na zamani waliitwa Eastern churches..Na hawa wa orthodox nao imekaaje maana wana tarehe zao pia za pasaka na Christmas , nao ni wakatoliki View attachment 2950535View attachment 2950536
Kwahio hizi tarehe wanaamua tuYeah mkuu na zamani waliitwa Eastern churches..
Kama unavyoona hapo chini Tarehe zote za Easter ziko arranged kwa Easten na western
View attachment 2950538
Ooh bhasi kama Msingi wa Mada ni kuattack watu fulani Sio sawa hata kidogo..Mkuu, unajua msingi wa mada ni ku-attack ukristo. Obvious dhidi ya dini nyingine ikiwemo na uislamu.
Sasa mfano, Idd el fitri chanzo chake ni kipi? Na je kama haipo kwenye quran, ina uharamu wowote kwa waislamu?
Upagani ni nini ?Mwaka huu tumesheherekea Pasaka mnamo kuanzia tarehe 29 Machi hadi 01 April. Mwaka 2023 Pasaka ilianza tarehe 07 April hadi 09 April.
Kuna kitu hakipo sawa kama endapo tutatumia akili zetu vizuri tutaweza kung'amua kuwa Wazungu wameingiza upagani kwenye Neno la Mungu.
SIjajua sina utaalamu nazoKwahio hizi tarehe wanaamua tu
🤣🤣Bro, Easter haihusiani na pasaka na haipo katika Biblia. Binafsi sijui ilipotokea na wala sijuagi maana yake labda unifundishe leo kiongozi. Ila nifahamucho, tunakumbuka Ukombozi pitia "damu ya mwana kondoo". Kama ambavyo damu ya Mwanakondoo iliwaokoa wana wa Israel toka utumwani Misri, ndivyo nayo damu ya mwana kondoo wa Mungu imetuokoa na kututuoa utumwani. Mengine siyajui na sitaki kuyajua. Hata ukinifundisha, nitayaachia hapa hapa JF. 😀😃😄😁😆