Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Kwani kuonesha mechi ndio kuingilia soccer? Mbona kuna wizara ya michezo?Halafu hajui kuwa serikali haziingilii mambo ya soka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuonesha mechi ndio kuingilia soccer? Mbona kuna wizara ya michezo?Halafu hajui kuwa serikali haziingilii mambo ya soka
Mpaka tumalize SiglaHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima, sasa kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?
View attachment 1665639
TANZANIA - TURKEY RELATIONS:
=====
JANUARY 2017: Rais wa Uturuki awasili nchini Tanzania na kupokelewa na maelfu ya watu katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Yasemin Eralp walikuwa mstari wa mbele katika mapokezi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan. Majaliwa alimpokea Rais Erdoğan kwa niaba ya Rais John Magufuli.
View attachment 1665640
Rais Erdoğan amepokelewa kwa ngoma za asili kama ishara ya utamaduni wa nchi ya Tanzania. Rais wa Uturuki amesema ataendeleza uhusiano mzuri na bara la Afrika na kuhakikisha kila nchi barani Afrika ina Balozi atakae iwakilisha Uturuki.
FEBRUARY 2017: Kampuni ya Yapi Merkezi ya Uturuki imeshinda zabuni ya kujenga reli ya kisasa (standard gauge) yenye urefu wa kilometa 300 kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na njia za kupishana.
Ushindi wa zabuni hiyo umekuja ikiwa ni siku chache tangu Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan kuitembelea Tanzania na mwenyeji wake, Rais John Magufuli pamoja na mambo mengine alimwomba aijenge reli hiyo.
View attachment 1665652
Akizungumza jana wakati wa utiaji saini wa kandarasi hiyo, Mkurugenzi wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), Masanja Kadogosa alisema zabuni ilitangazwa Septemba 9, 2016 kwa kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro na tarehe ya kurudisha zabuni ilikuwa Desemba 6, 2016.
Kwa uhusiano huu mzuri uliopo baina ya Tanzania na Uturuki kwanini "lobbying" isifanyike kisha TBC wakaonesha mechi za Fenerbahçe tu?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Uturuki inavyo takribani vituo 421 vya kulea, kutunza na kufundisha watoto yatima, walio katika mazingira magumu na wazee katika taifa hili. Uturuki ni moja ya taifa ambalo bendera yake inapeperushwa katika taifa hili mtaani. Nguzo nyingi za umeme za kuanzia 2016 nyingi zimetoka, zimesimikwa na wakandarasi wa kituruki.Umesoma kweli ukaelewa? Amejaribu kuonesha maeneo ambayo Tanzania ina uhusiano na Uturuki akajaribu kusema TBC nao wafuate mfano huo tuanze kuangalia ligi ya Uturuki na bila kusahau lakini sio lazima shule za Feza Boys&Girls ni uwekezaji wa Waturuki pia
Televisheni ya kila taifa husika ina first spot ya umiliki wa haki za matangazo ya taifa husika. ZBC kupitia ZBC2 imekuwa ikutumika kama Televisheni ya taifa katika mechi za kimataifa na hii imepewa nguvu zaidi na Azam Media.Mnalaumu bure hamjui taratibu za Fifa
Walishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana EPL ni aghali...Kwenye title yako kulikuwa hakuna ulazima wa kutaja ligi pendwa ya uingereza. Sijaona kwenye content imehusika humo.
Samata yupo uturuki hahusiki tena na EPL.
It's a business makampuni ya udhamini kwa njia ya matangazo yapoKuhusu TBC yani wanunue matangazo kwa ajili ya mchezaji mmja tu?. Ushauri wako hauna tija ya kiuchumi labda kama watapewa watangaze bure.
Nilikuwa sijui kabisa hili. Asante kwa elimu...Televisheni ya kila taifa husika ina first spot ya umiliki wa haki za matangazo ya taifa husika.
Utataribu upi????Mnalaumu bure hamjui taratibu za Fifa
Kwani tbc kazi yake si kuonyesha ziara za magufuli na ccm? Sasa mpira unawahusu nini?Wengine wanawezaje kupata mpaka sisi tushindwe?
Msalimie sana wifi yangu mahondaw
Hakuna ligi ya Uingereza. sema ligi kuu EnglandHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima, sasa kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?
View attachment 1665639
TANZANIA - TURKEY RELATIONS:
=====
JANUARY 2017: Rais wa Uturuki awasili nchini Tanzania na kupokelewa na maelfu ya watu katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Yasemin Eralp walikuwa mstari wa mbele katika mapokezi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan. Majaliwa alimpokea Rais Erdoğan kwa niaba ya Rais John Magufuli.
View attachment 1665640
Rais Erdoğan amepokelewa kwa ngoma za asili kama ishara ya utamaduni wa nchi ya Tanzania. Rais wa Uturuki amesema ataendeleza uhusiano mzuri na bara la Afrika na kuhakikisha kila nchi barani Afrika ina Balozi atakae iwakilisha Uturuki.
FEBRUARY 2017: Kampuni ya Yapi Merkezi ya Uturuki imeshinda zabuni ya kujenga reli ya kisasa (standard gauge) yenye urefu wa kilometa 300 kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na njia za kupishana.
Ushindi wa zabuni hiyo umekuja ikiwa ni siku chache tangu Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan kuitembelea Tanzania na mwenyeji wake, Rais John Magufuli pamoja na mambo mengine alimwomba aijenge reli hiyo.
View attachment 1665652
Akizungumza jana wakati wa utiaji saini wa kandarasi hiyo, Mkurugenzi wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), Masanja Kadogosa alisema zabuni ilitangazwa Septemba 9, 2016 kwa kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro na tarehe ya kurudisha zabuni ilikuwa Desemba 6, 2016.
Kwa uhusiano huu mzuri uliopo baina ya Tanzania na Uturuki kwanini "lobbying" isifanyike kisha TBC wakaonesha mechi za Fenerbahçe tu?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
SIYO MUHIMU KIVILE KUNA MAISHA BILA MPIRA WALA SAMATAHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.

Asante kwa kuandikaSIYO MUHIMU KIVILE KUNA MAISHA BILA MPIRA WALA SAMATA
Kuna tofauti gani kati ya Uingereza na England?Hakuna ligi ya Uingereza. sema ligi kuu England
TBC/TVT ya mwaka 2011 sio sawa na hii ya mwaka 2021. Wamepiga sana hatua. Wanajitahidi sana kulingana na pato la taifa kwa maana sisi sio USA wala China.Huwa nikiangalia watangazaji wa kiume TBC 1 wanavyovyalishwa kwenye ardhio nataman bora wavae magunia tuu tujue moja. Nasikia kuna mishahara minono pale yenye hadhi ya mashirika mengine ya umma ila jamaa wanavaa suruali rangi yake koti rangi yake unga unga mwana hata mitumba ya karume haipo vile sijui wanatungua wapi.