Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

ni art or attempt by individuals or private interest groups to influence the decisions of government or organization to something in their interest.
on the top level hapa rushwa huwa inahusika sana.
Asante kwa ufafanuzi mkuu. Sasa mkuu, ina maana ukifanya ushawishi pasipo kutoa rushwa hiyo sio "lobbying"?
 
it is possible. but at this game hauko mwenyewe. una wenye nguvu zaidi yako?
how do you do it?
Upo sahihi mkuu, lakini katika suala la TBC kuonesha mechi za Fenerbahçe sidhani kama Tanzania inashindana na nchi nyingine.

Ushindani mkubwa ambao nimeuona kwa siku za hivi karibuni ambao ulihitaji "lobbying" ya hali ya juu ni ule wa bomba la mafuta la Uganda pamoja na walimu wa Kiswahili kwenda kufundisha Afrka ya Kusini.
 
Suala la walimu pamoja na bomba la mafuta Tanzania ilikuwa inapambana na Kenya sema sisi ni wajanja kuwazidi wao.
 
ni art or attempt by individuals or private interest groups to influence the decisions of government or organization to something in their interest.
on the top level hapa rushwa huwa inahusika sana.
Umefafanua kitaalam sana mkuu
 
Back
Top Bottom