Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

Huwa nikiangalia watangazaji wa kiume TBC 1 wanavyovyalishwa kwenye ardhio nataman bora wavae magunia tuu tujue moja. Nasikia kuna mishahara minono pale yenye hadhi ya mashirika mengine ya umma ila jamaa wanavaa suruali rangi yake koti rangi yake unga unga mwana hata mitumba ya karume haipo vile sijui wanatungua wapi. Shirika nalo limeshindwa wavalisha watangazaji ni shidaaaa.
Mbona TBC wanajitahidi sana katika suala zima la mavazi mkuu. Una beef nao kwani?
 
Mbona TBC wanajitahidi sana katika suala zima la mavazi mkuu. Una beef nao kwani?
Kwa jicho la kawaida unaweza ona kuwa wanavalishwa vuzuri hasa watangazaji wa kiume ila kwa mm mwenye jicho la tatu kila siku watangazaji wa kiume wana commit fashion crime kwenye uvaaji wao. Bora hata wavae nguo za asili za kitenge au batiki. Lakin uvaaji wao huu wa suti magharibi wanabolonga kinoma. Unakuta koti lina rangi yake iliochuja na suruali rangi yake. Waige wenzao wa azam tv au bbc swahili
 
Nayashukuru mashirika ya watangazaji ya ZANZIBAR kupitia ZBC2, KENYA kupitia KBC na RWANDA kupitia RTv angalau tumeweza kutuonyeshea michezo ya timu yetu ya Taifa na tukashuhudia goli murua kabisa na jinsi kipa wetu anavyojitahidi kuiokoa nchi yake.Japo lazima uwe umelipia kifufushi lakini sii haba nadhani kwenye nchi za kenya na RWANDA kwa kuwa ni TV za taifa wananchi walifanikiwa Luna free on air
 
Nayashukuru mashirika ya watangazaji ya ZANZIBAR kupitia ZBC2, KENYA kupitia KBC na RWANDA kupitia RTv angalau tumeweza kutuonyeshea michezo ya timu yetu ya Taifa na tukashuhudia goli murua kabisa na jinsi kipa wetu anavyojitahidi kuiokoa nchi yake.
Hakika yule goalkeeper ni mzalendo sana mkuu. Anajua majukumu yake ipasavyo. Nina imani ipo siku na sisi Tanzania tutakuwa mbali zaidi katika ramani ya soccer la hapa Afrika...
 
Back
Top Bottom