Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

Mpaka tumalize Sigla
 
Kwenye title yako kulikuwa hakuna ulazima wa kutaja ligi pendwa ya uingereza. Sijaona kwenye content imehusika humo.

Samata yupo uturuki hahusiki tena na EPL. Kuhusu TBC yani wanunue matangazo kwa ajili ya mchezaji mmja tu?. Ushauri wako hauna tija ya kiuchumi labda kama watapewa watangaze bure.
 
Uturuki inavyo takribani vituo 421 vya kulea, kutunza na kufundisha watoto yatima, walio katika mazingira magumu na wazee katika taifa hili. Uturuki ni moja ya taifa ambalo bendera yake inapeperushwa katika taifa hili mtaani. Nguzo nyingi za umeme za kuanzia 2016 nyingi zimetoka, zimesimikwa na wakandarasi wa kituruki.
 
Mnalaumu bure hamjui taratibu za Fifa
Televisheni ya kila taifa husika ina first spot ya umiliki wa haki za matangazo ya taifa husika. ZBC kupitia ZBC2 imekuwa ikutumika kama Televisheni ya taifa katika mechi za kimataifa na hii imepewa nguvu zaidi na Azam Media.
 
Kuhusu TBC yani wanunue matangazo kwa ajili ya mchezaji mmja tu?. Ushauri wako hauna tija ya kiuchumi labda kama watapewa watangaze bure.
It's a business makampuni ya udhamini kwa njia ya matangazo yapo
 
Hakuna ligi ya Uingereza. sema ligi kuu England
 
SIYO MUHIMU KIVILE KUNA MAISHA BILA MPIRA WALA SAMATA
 
Huwa nikiangalia watangazaji wa kiume TBC 1 wanavyovyalishwa kwenye ardhio nataman bora wavae magunia tuu tujue moja. Nasikia kuna mishahara minono pale yenye hadhi ya mashirika mengine ya umma ila jamaa wanavaa suruali rangi yake koti rangi yake unga unga mwana hata mitumba ya karume haipo vile sijui wanatungua wapi. Shirika nalo limeshindwa wavalisha watangazaji ni shidaaaa.
 
TBC/TVT ya mwaka 2011 sio sawa na hii ya mwaka 2021. Wamepiga sana hatua. Wanajitahidi sana kulingana na pato la taifa kwa maana sisi sio USA wala China.

MUNGU IBARIKI TANZANIA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…