Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

Mbona TBC wanajitahidi sana katika suala zima la mavazi mkuu. Una beef nao kwani?
 
Mbona TBC wanajitahidi sana katika suala zima la mavazi mkuu. Una beef nao kwani?
Kwa jicho la kawaida unaweza ona kuwa wanavalishwa vuzuri hasa watangazaji wa kiume ila kwa mm mwenye jicho la tatu kila siku watangazaji wa kiume wana commit fashion crime kwenye uvaaji wao. Bora hata wavae nguo za asili za kitenge au batiki. Lakin uvaaji wao huu wa suti magharibi wanabolonga kinoma. Unakuta koti lina rangi yake iliochuja na suruali rangi yake. Waige wenzao wa azam tv au bbc swahili
 
Nayashukuru mashirika ya watangazaji ya ZANZIBAR kupitia ZBC2, KENYA kupitia KBC na RWANDA kupitia RTv angalau tumeweza kutuonyeshea michezo ya timu yetu ya Taifa na tukashuhudia goli murua kabisa na jinsi kipa wetu anavyojitahidi kuiokoa nchi yake.Japo lazima uwe umelipia kifufushi lakini sii haba nadhani kwenye nchi za kenya na RWANDA kwa kuwa ni TV za taifa wananchi walifanikiwa Luna free on air
 
Nayashukuru mashirika ya watangazaji ya ZANZIBAR kupitia ZBC2, KENYA kupitia KBC na RWANDA kupitia RTv angalau tumeweza kutuonyeshea michezo ya timu yetu ya Taifa na tukashuhudia goli murua kabisa na jinsi kipa wetu anavyojitahidi kuiokoa nchi yake.
Hakika yule goalkeeper ni mzalendo sana mkuu. Anajua majukumu yake ipasavyo. Nina imani ipo siku na sisi Tanzania tutakuwa mbali zaidi katika ramani ya soccer la hapa Afrika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…