Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

MUWE NA UTAMADUNI WA KUPENDA CHENU
 
Wewe ndio umekosa kabisa cha kuandika. Uturuki ligi gani hujui kwamba mchezaji akishaenda kucheza Uturuki ndio mpira wake umeisha hivyo.
 
Yaani kweli mtu mmoja atusukume kununua haki za matangazo za ligi yote ili tumtazame yeye na hana Ubora kiasi hicho
Mbona tenda ya ujenzi wa SGR mmewapa kampuni ya Uturuki? Shule za Feza ni mali ya nani kama sio hao hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…