Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10.

Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa.

Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
 
Soka letu wachezaji wapo slow sana alafu ni waoga waoga ndiyo huwafanya wawe hivyo,ila ulaya ukiwa slow kwenye maamuzi unapitiwa
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…