Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Samnata alisema work rate dakika 90 za ubelgiji ni sawa na dakika 10 za EPLWachezaji wetu ni wavivu hawafanyi mazoezi magumu kama ya EPL.Ligi hiyo ni ngumu sana inabidi uwe fit sana kuweza kuhimili kucheza kwenye hiyo ligi.
Hawapigwi viatu ipasavyoJe wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
Hawajapigwa viatu inavyotakiwaSisi mpaka uwe na majeraha makubwa ndio unakaa nje, wenzetu majeraha kidogo tu ni habari kubwa na unakaa hata mwezi nje.
Toa maelezo vizuri dakika 10 kivipi?Nasikia Samnata alisema work rate dakika 90 za ubelgiji ni sawa na dakika 10 za EPL
EPL dakika 10 ukienda EPL tena unaweza kuzitumia EPL?Yaani EPL nguvu unazotumia kucheza dk 10 ukienda EPL unaweza kuzitumia kwa mechi nzima
Hawapigwi viatu hawa ndio maanaSoka letu wachezaji wapo slow sana alafu ni waoga waoga ndiyo huwafanya wawe hivyo,ila ulaya ukiwa slow kwenye maamuzi unapitiwa