Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

kama ni kweli ni mambo ya kishetani, mazishi ni mambo ya private ya kifamilia na wanaweza kuamua wenyewe kwa gharama zao kufanya utafiti wa chanzo cha kifo au la, na ni uamuzi wao wazike wapi na utaratibu uweje, serikali inawahusu nini? ...
Siyo kwa hii "SIRIKALI"
 
Watanzania ni Wanafiki sana na Bendera fuata Upepo leo nimeamini. Yaani Mtu aliyesababisha wengi Kuondoka nae Kaondoka vile vile halafu anatetewa na kuliliwa.
 
Acha yachapane kwanza maana walijimilikisha hii Nchi....
 
Ni nini "Sirikali" ilishakiri ni kweli?
Magu alipokufa walisema yupo Mzima wa afya ILA kwa sababu kifo hakina reverse wakajatangaza.
 
Hata marehemu ni TISS vilevile. Baada ya mapinduzi kugonga mwamba mnatafuta njia nyingine za hovyohovyo.
Kwamba TISS hawageukani? Bas ndo hivyo Kipenyo kaondoshwa mapema mchezoni, hatutaki vikwazo sie.
Bado Inno na mama kodi. Tumalize mchezo.
 
Kitu ambacho wewe hujui ni kwamba wakati wewe na wenzio mnatafuta namna gani ya kuibomoa Tz, kuna watu na vyombo vinajifunza namna bora ya kuilinda tz na watu wake. Taifa linagharamia kusomesha watanzania namna bora ya kuilinda Tz, tena wanapelekwa kusoma ndani na nje ya nchi za Afrika, Asia, Europe na Marekani. Kabla hujafikiria namna ya kuiangamiza tz au serikali iliyoko madarakani fikiria kwanza hilo.

Mfano, watanzania na vyombo vya dola wanajua kuwa wakoloni walikuwa wanasali pale kwenye kanisa la St. Peter Oyster bay na kuleee St. Joseph (forodhani). Tunajua kuwa wakoloni walipoondoka kurudi kwao waliwaacha maaskofu nyuma na wapo hadi leo kwa namna ileile. Hatujawahi kusikia maaskofu wakiwaomba radhi watanzania kwa kusalisha wakoloni waliokuwa wanaibagaza nchi yetu. Hivyo, hata leo kama nikisikia kanisa linatoa matamko ya kuipinga serikali ya watanzania sishangai. Matamko kama hayo yalipaswa kuwa mengi sana wakati wa ukoloni kupinga wakoloni kuiba mali zetu kwa nguvu na kupeleka kwao.

Kuna wakati nasikia bunge la ulaya linajadili maswala ya nchi za Afrika; huwa nacheka sana, maana bunge la ulaya ni lilelile lililo kaa kule Berlin, Ujerumani chini uongozi wa Bismarck kujadili namna ya kuigawana Afrika na kuitawala kwa nguvu. Ni watu hawahawa sasa wanajiita bunge la Ulaya. Wana mawazo na akili zilezile za babu zao walikutana kwenye Berlin conference kupanga namna ya kulikata kwenye vipande vya hovyohovyo na kutawala.
 
WAhuni mnaiharibu nchi kwa tamaa za madaraka
 
wafe tu maana walijitia ufedhuri wakati watanganyika wenzao walipo uwawa walifumba macho wakahisi wao watakua salama,, acha kikulacho kiwakule labda akili zitachangamka
 
Kwani wakisema hatutaki mambo ya serikali kwenye huu msiba, itakuaje.
mambo ya serikali na watu wake mwisho Leo msiba huu utaendeshwa kifamilia na wanafamilia wachache. Over
 
Mbongo mpe Picha tu

Atatiririka stori nzima 😅
 

hata sisi hatujawahi kusikia mashehe wakituomba radhi kwa muslims arabs na irani kutuuza utumwa pamoja biashara ya pembe za ndovu ambapo tulibebeshwa mzigo kwa mguu ktk kgm mpaka pwani kufwata caravan.

Christians hawakuuza binadamu hapa kwetu ila muslims waliuza muslims weusi mpaka miaka 1910, mbona mashehe hawajawahi kuwaombea radhi kwetu? …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…