Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

šŸ¤£šŸ˜…Naelewa uko sawa kabisa, kukubali kikubwa mkate unapatikana.

Tulim challenge Jenestha, kufika uwaziri akiwa kilaza
 
Wakoloni wa kiarabu walikuwa wanaswali wapi?
 
Mwache tu ni story za hapa jamvini.
Mrengo wako uliopo ni chukizo Kwa wengi
Sio wote wanaweza kubeba kejeli na machukizo yenu
Jitahidi kuona ukweli wa mambo na badilika, sema mabaya ya Samia
Hapana mkuu. Kila mtu avumilie mwenzake. Kama tulikubali vyama vingi tubishane kwa hoja. Hii kutukanana matusi ya nguoni sio sawa.
 
Chanzo cha kifo kinaweza kuwa mshituko wa moyo Heart Attack lakini ambayo imesababishwa na hila ya watu ila haiwezi kufahamika kwa Pathologist kwamba imesababishwa na watu.

Endapo uchunguzi ungefanyika kwenye mataifa ya Ulaya au Marekani basi wenyewe wangeweza kujua vizuri kwamba the heart attack was clandestinely instigated to end the life of the deceased person and they would even have known the agent applied to achieve that purpose.
 
Namsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
Ummi alitaka kujiongeza aende kwa x wake Mombasa akagundua alikua hajui. Walimrudisha mapemaa. Sasa hivi hata akijamba wanajua.
 
Namsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
Atapita wapi na mwenzie odo kapigwa pini tayari??
 
2025/2026 ni mwaka mzito sana , asema Bwana, Mr Nchimbi be blessed Bro.
 
Huwa ninaumia sana kuona jinsi taasisi hizi zilivyoharibiwa mpaka kufikia hatua ya kutumika kulinda usalama na maslahi ya kikundi kidogo cha watu binafsi na wakati huo zikijiendesha kwa pesa za walipa kodi.

Huwa najiuliza sana imekuwaje mpaka zikafika hapa kiasi cha kutengeneza uadui na mamilioni ya raia kwa ajili ya kuwalinda watu wachache.
 

huwa hakuna kitu kama taasisi, tanzagiza mnadanganywa sana, kila kitu kinategemea na raisi aliyepo, kama raisi ni competent kutakuwa na serikali na taasisi competent na imara na kinyume chake ni hivyo hivyo, hao tiss boss wao ni raisi wa nchi hivyo kutegema kwamba wanaweza kwenda kinyume na raisi aliyepo anavyotaka ni wishful thinking, kwani huo ni uhaini moja kwa moja na huyo tiss atauwa kama wengine tu walivyouliwa, au kwa nini mnafikiri kuna mauaji na utekaji unaendelea kila siku?

tiss na serikali yote inaendana na raisi aliyepo, period ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…