Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #81
Hapo kwenye tanapa hamna kitu bora mwalimu tuACHA wivu.
Tafuta kazi kwenye mamlaka yoyote upige pesa.
Regulatory authority mfano....
1. TPDC.
2.TRA.
3 TANAPA.
4.NEMC.
5. TCRA.
6. TANZANIA PORT AUTHORITY
NK.......
USITAMANI MALI YA JIRANI YAKO, WALA CHOCHOTE ALICHONACHO JIRANI YAKO.....
KUTOKA 20
Sisikitiki Wala kufrahi, ninachotaka kusema wajalibu kunormalize ili hata mtumishi wa chini ya halmashauri nae alambe Kopo la asaliNakukubali sana jembe langu mpwayungu village . Riziki hupangwa na Mungu na wala usisikitike fulani anapopatwa na mazuri, wala usifurahi fulani anapopatwa na mabaya.
Kwaio mwalimu ndyo case study yako sio!?? Kwa taarifa yko fupi tu ni kwamba, kaz zote za kijamii za serikari zina kima au ngazi za kuanzia kulingana na kiwango cha elim na muda wa kazi, huyo mwl unayemzungumzia ni wa ngazi ipi ambaye kwa mwaka mzima anakunja ml5? Hujaona manesi,maaskari polis na magereza, makaran wa mahakama nk ( kmbuka) Hta wahadhiri ni waalim ambaye tutor wake tu analamba karib milion kwa mwezi!!! Kalaghabaho mtoa mada[emoji23]Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.
Inamana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.
Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane [emoji849].
View attachment 2443725
Nimeelewa sana hiiMfano:-
Hii inamaanisha wingi wa wafanyakazi, unapunguza mgao wa kila mmoja.
- Una 100,000/= unataka uigawe kwa watoto wako 100 (walimu); kila mtoto atapata 1,000
- Mtu mwingine naye ana 100,000, akaigawa kwa watoto wake (25); kila mmoja atapata 4,000
Umesahau mishahara ya BOT na Ngorongoro crater?Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu.
Inamana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero kilometer pale Port. Nishauri serikali siyo nawaonea donge, ila wajaribu kupunguza hiki kiwango, haiwezekani mshahara wa mwalimu yeye anapiga kwa siku moja tu.
Nataka kujua kwa lipi hasa mpaka wapewe pesa ndefu kiasi hiki, yani unakaa miaka mitano tu kazini tayari salary slip inasoma million nane [emoji849].
View attachment 2443725
Mkuu ushawah kuona maumivi ya kulipia kodi kontena pale bandarin...yaan mtaji wako lakin unawaachia 120Mil +...kama ushuru...maumivu yake si yakawaida....Roho mbaya sio Mtaji. Unajua risk ya kukaa kwenye Mionzi. Tunateseka Sana brother acha Kusema tu mshahara tambua kwanza ugumu wa kazi tunayofanya. Halafu hiyo milioni tano ni ndogo Sana. Ya Kawaida mno ni kwa vile tu hauna.
Uliacha kazi ama?Nilifanya kazi TPDC enzi Mkurugenzi Mkuu akiwa Yonna Kilagane,Mwenyekiti wa Bodi alikuwa General Mstaafu Robert Mboma,Mkurugenzi wa Masoko akiwa Dismas Fuko, Mkurugenzi wa Exploration Halfan Halfan ambaye baada ya kustaafu Mama Samia kamteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC hapohapo,enzi Ofisi zipo Upanga kabla hatujahamia Mkapa Tower.
Uzuri wa TPDC upo kwenye kuwajali wafanyakazi wake kitaaluma,maana ukipelekwa kusoma Masters au PhD Ulaya unalipwa mpaka Pesa ya Pedi inakuwa kwenye Bajeti yako.Wakati huo Eng.Modestus Lumato alikuwa Ofisa wa kawaida na sasa hivi ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA,wakati Eng.Charles Sangweni alikuwa Ofisa wa kawaida na sasa hivi ni Mkurugenzi Mkuu wa PURA.
Bwana MPWAYUNGU uliza swali lolote kuhusu TPDC nitakujibu
nilihamishiwa Idara nyingine ya Serikali nono zaidi ya TPDC
Hivi ni kweli Mwl. huwa analipwa laki3? maana toka nimeanza kusikia hili toka sina meno na sasa nazichungulia mvi.Hhhahaha mwalimu analipwa laki Tatu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Fanya mpango mkuu nikawe hata mfagizi hapoNilifanya kazi TPDC enzi Mkurugenzi Mkuu akiwa Yonna Kilagane,Mwenyekiti wa Bodi alikuwa General Mstaafu Robert Mboma,Mkurugenzi wa Masoko akiwa Dismas Fuko, Mkurugenzi wa Exploration Halfan Halfan ambaye baada ya kustaafu Mama Samia kamteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC hapohapo,enzi Ofisi zipo Upanga kabla hatujahamia Mkapa Tower.
Uzuri wa TPDC upo kwenye kuwajali wafanyakazi wake kitaaluma,maana ukipelekwa kusoma Masters au PhD Ulaya unalipwa mpaka Pesa ya Pedi inakuwa kwenye Bajeti yako.Wakati huo Eng.Modestus Lumato alikuwa Ofisa wa kawaida na sasa hivi ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA,wakati Eng.Charles Sangweni alikuwa Ofisa wa kawaida na sasa hivi ni Mkurugenzi Mkuu wa PURA.
Bwana MPWAYUNGU uliza swali lolote kuhusu TPDC nitakujibu
Yupi huyo ana gari, shida yenu mikokoteni nayo mnaita gari (vitz, Subaru, IST, korona, verossa, crown) gari ni hizi Prado, v8, range.. Aya nambie mwalimu yoyote bongo mwenye PradoHivi ni kweli Mwl. huwa analipwa laki3? maana toka nimeanza kusikia hili toka sina meno na sasa nazichungulia mvi.
Kama ndo hivyo basi watakuwa ni wezi maana kuna ninaowajua wanaendesha maisha hatarii. Ama tuwapongeze kulipwa laki3 na ukajenga, kumiliki nyumba ya kisasa, biashara na kusomesha watoto shule za adabu
Ipi hiyonilihamishiwa Idara nyingine ya Serikali nono zaidi ya TPDC
Nilishatoka hapo Mkuu japo nina connection na Senior Staff wengi wa pale,kimsingi ni panono ndio maana kuna staff wawili Frola Salakana na Braison Kunyalanyala walihamishwa pale kwenda Idara nyingine za Serikali,kwa kuona kwamba pale wametolewa kwenye mrija wa Asali walikataa kwenda kuripoti huko walikohamishiwa wakafungua mpaka Kesi CMI[emoji1787][emoji1787]sijui hata Kesi yao iliishiaga wapi lakini waligoma kuhama wakawa wanakaa nyumbani tu,hatari sanaFanya mpango mkuu nikawe hata mfagizi hapo
No,hii Siri yanguIpi hiyo
Wachana na mpwayungu. Nipe connection basiNilifanya kazi TPDC enzi Mkurugenzi Mkuu akiwa Yonna Kilagane,Mwenyekiti wa Bodi alikuwa General Mstaafu Robert Mboma,Mkurugenzi wa Masoko akiwa Dismas Fuko, Mkurugenzi wa Exploration Halfan Halfan ambaye baada ya kustaafu Mama Samia kamteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC hapohapo,enzi Ofisi zipo Upanga kabla hatujahamia Mkapa Tower.
Uzuri wa TPDC upo kwenye kuwajali wafanyakazi wake kitaaluma,maana ukipelekwa kusoma Masters au PhD Ulaya unalipwa mpaka Pesa ya Pedi inakuwa kwenye Bajeti yako.Wakati huo Eng.Modestus Lumato alikuwa Ofisa wa kawaida na sasa hivi ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA,wakati Eng.Charles Sangweni alikuwa Ofisa wa kawaida na sasa hivi ni Mkurugenzi Mkuu wa PURA.
Bwana MPWAYUNGU uliza swali lolote kuhusu TPDC nitakujibu
Connection ya pale uwe na sifa na si magumashi,wanachukua kuanzia Second Upper,ukiwa na Lower Second au Pass sahauWachana na mpwayungu. Nipe connection basi
Hapo nishakosa. Basi utanipa connection za nje ya ofic [emoji2369]Connection ya pale uwe na sifa na si magumashi,wanachukua kuanzia Second Upper,ukiwa na Lower Second au Pass sahau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo nishakosa. Basi utanipa connection za nje ya ofic [emoji2369]
Duuh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kweli kitu asali weka mbali na watotoWachana na mpwayungu. Nipe connection basi