Kenya hata mama nitilie, muuza matunda na bodaboda wana lipa namba. Ukitumia huduma zao unalipa kwa simuMytake; cashless economy hapa bongo bado ina safari ndefu sana
Wanakukataza usitumie njia hiyo tumia kwa dharula tuWakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa!
Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu, niliwahi tuma 7m+ toka equity kwenda crdb na wakakata buku mpka nilihisi wamekosea!
Je hawa watu wamewekeana sanctions? Waliojaribu kutumia kadi ya nmb kwenda lipa namba ya voda je fees zikoje?
Mytake; cashless economy hapa bongo bado ina safari ndefu sana!
Kuna njia rahisi sana ya kutuma na kupokea pesa toka mtandao ya simuWakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa!
Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu, niliwahi tuma 7m+ toka equity kwenda crdb na wakakata buku mpka nilihisi wamekosea!
Je hawa watu wamewekeana sanctions? Waliojaribu kutumia kadi ya nmb kwenda lipa namba ya voda je fees zikoje?
Mytake; cashless economy hapa bongo bado ina safari ndefu sana!
Ni mtihani ni kama wanafanya kukomoa watu!Mtihani kweli Mimi Pana siku Ruaha ndani ndani huko ukitaka ATM ili ukatwe elf tatu kutoa hela ni lazima uende Mahenge mjini kwenda na kurudi nauli ni elf 20 kwa boda au elf 7 kwa mshikaki sawa na elf 14,nikicheck gharama za boda na kuhamisha kwa simu tofauti ni elf 3 nikawa sina jinsi kuhamisha kwenye simu network yenyewe niliifata juu ya mlima kule mtandao ni mmoja tu halotel halopesa kupanda mlima nusu saa,kwenda na kurudi kwenye ATM Mahenge masaa matatu.
Kwa uharaka wa pesa nikawa sina option ya kuchoma zaidi ya elf 20 ili kupata pesa kwa process mbili.
Yaani kuhamisha pesa toka bank kwenda simu wakalamba,
Kutoa pesa kwa wakala wakalamba elf sita.
Watumishi wa vijijini wanapata sana tabu kwenye ishu za miamala.
Mama mama mama!!!Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa!
Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu, niliwahi tuma 7m+ toka equity kwenda crdb na wakakata buku mpka nilihisi wamekosea!
Je hawa watu wamewekeana sanctions? Waliojaribu kutumia kadi ya nmb kwenda lipa namba ya voda je fees zikoje?
Mytake; cashless economy hapa bongo bado ina safari ndefu sana!
True, sijui nchi zingine wao rate zao vipiNi mtihani ni kama wanafanya kukomoa watu!
Hata hivyo hawajamaa hawanaga akili hata kutoa pesa benki ni ghamara kubwa mno kuna makato ya benki na ya serikali cha ajabu ya serikali ni makubwa kuliko ya wanao kutunzia pesaDah mwenyewe nilishaacha, kuna siku nikasema niwalipe vijana toka bank kwenda kwenye simu zao, nilijuta sijawahi rudia tena!
Hebu kuweni na busara basi kabla hamjachangia.Sasa kama wewe unaona uvivu kutoka home kwenda bank kutoa hela, ndio unadhani na mtu wa bank ataweza kutoka bank aende kwa wakala kutoa hela?
Mbwa kala Mbwa tu.