Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Kabisa yan aisee..Unaweza lia ukiona hayo makato .wasambaze atm ziwe za kutosha .
Mfano equity ana atms chache sana esp huku mikoani
Kutoka hapa nilipo mpaka mjini kwenda na kurudi ni 10000 Nina mwezi Toka nijiunge na hii sim banking na sijawahi kutumia ndio nilikuwa nafikiria kuanza kuitumia kupunguza gharama za kwenda ATM na mpango wangu ni kutoa si zaid ya laki 4 bank.kwa mwezi.Mtihani kweli Mimi Pana siku Ruaha ndani ndani huko ukitaka ATM ili ukatwe elf tatu kutoa hela ni lazima uende Mahenge mjini kwenda na kurudi nauli ni elf 20 kwa boda au elf 7 kwa mshikaki sawa na elf 14,nikicheck gharama za boda na kuhamisha kwa simu tofauti ni elf 3 nikawa sina jinsi kuhamisha kwenye simu network yenyewe niliifata juu ya mlima kule mtandao ni mmoja tu halotel halopesa kupanda mlima nusu saa,kwenda na kurudi kwenye ATM Mahenge masaa matatu.
Kwa uharaka wa pesa nikawa sina option ya kuchoma zaidi ya elf 20 ili kupata pesa kwa process mbili.
Yaani kuhamisha pesa toka bank kwenda simu wakalamba,
Kutoa pesa kwa wakala wakalamba elf sita.
Watumishi wa vijijini wanapata sana tabu kwenye ishu za miamala.
AiseeYan ni kubwa mno mpaka ina discourage aisee.
Chek mfano hii nilifanya juz kati, yaan kutuma 270k wakakulambe 6500????
This is very costful
View attachment 3306449
Kwa gharana hii si bora ukapanda daladala kabisaa uipeleke? 😂
Balaa kabisaa. Na ndio unakuta huna jinsi paymentninabid ifanyike kwa bank. Na ni mida mibovu hakuna huduma wakat huo.Aisee
Nenda town toa.laki 4 yako kwa mara1?.Kutoka hapa nilipo mpaka mjini kwenda na kurudi ni 10000 Nina mwezi Toka nijiunge na hii sim banking na sijawahi kutumia ndio nilikuwa nafikiria kuanza kuitumia kupunguza gharama za kwenda ATM na mpango wangu ni kutoa si zaid ya laki 4 bank.kwa mwezi.
Unanishauri vipi mkuu kutokana na hizo charges za sim banking je ni kubwa au nifanye niwe naenda mjini Kwa hiyo nauli ya 10000 kufuata kutoa pesa kwenye ATM.
Mkuu vipi kama ungeitoa hiyo pesa ukaiweka kwenye account Yako ya tigo pesa kisha uitume gharama ingekuwa hiyo hiyo ama tofauti?Yan ni kubwa mno mpaka ina discourage aisee.
Chek mfano hii nilifanya juz kati, yaan kutuma 270k wakakulambe 6500????
This is very costful
View attachment 3306449
Kwa gharana hii si bora ukapanda daladala kabisaa uipeleke? 😂
Hatari sana aiseeYan ni kubwa mno mpaka ina discourage aisee.
Chek mfano hii nilifanya juz kati, yaan kutuma 270k wakakulambe 6500????
This is very costful
View attachment 3306449
Kwa gharana hii si bora ukapanda daladala kabisaa uipeleke? 😂
Hapo tayari ipo kwenye tigopesa nikawa naituma kwemda crdb. Mazimgira nilikuwepo hakuna wakalaMkuu vipi kama ungeitoa hiyo pesa ukaiweka kwenye account Yako ya tigo pesa kisha uitume gharama ingekuwa hiyo hiyo ama tofauti?
Kuitoa kwenye account Yako ya bank hiyo 270000 kuja kwenye account yako ya tigo pesa iligharimu kiasi Gani makato?Hapo tayari ipo kwenye tigopesa nikawa naituma kwemda crdb. Mazimgira nilikuwepo hakuna wakala
hii kitu kwa kariakoo inasumbua sana.kila duka ukiuliza kama ana lipa namba anakwambia sina.toa hapo kwa wakala.sijui huwa wanahisi kule wanafatoliwa na tra. nilichogunduq bongo wanapenda sana ma cash cash.mtu anapenda awe anaziona hela kwenye droo.Kenya hata mama nitilie, muuza matunda na bodaboda wana lipa namba. Ukitumia huduma zao unalipa kwa simu
Hapana, hiyo balance ilikua kwenye simy tayar kama tigo pesa. Si unajua saa ingine mtu anakulipa kwa simu so amount inakuepo tu kwa simuKuitoa kwenye account Yako ya bank hiyo 270000 kuja kwenye account yako ya tigo pesa iligharimu kiasi Gani makato?
Tuambiane unafanyeje????Kuna njia rahisi sana ya kutuma na kupokea pesa toka mtandao ya simu
Kodi ni ndogo hela nyingi ni makato yao, uwe unasoma mchanganuo. Hao ndio wanyonyaji aliowakataa baba wa Taifa, ubepari ni unyama ndg. Wanavuna bila kupanda na ili kuwapofusha serikali kila shughuli ya serikali wao ni wafadhili hasa CRDB. CRDB ni majambaziKikubwa humo ndani ni tozo za serikali. Hela inayoenda mabank kama fee si kubwa. Mchawi serikali
Hii 270,000 kutuma straight bank, na kuitoa kwa wakala kuna tofauti gani ya makato? Then uchome mafuta au nauli kwenda bank. Hapo bado ukifika bank kuna foleni na kupoteza muda!Yan ni kubwa mno mpaka ina discourage aisee.
Chek mfano hii nilifanya juz kati, yaan kutuma 270k wakakulambe 6500????
This is very costful
View attachment 3306449
Kwa gharana hii si bora ukapanda daladala kabisaa uipeleke? 😂
Si lazima kwenda bank, kuna mawakala wengi tu. Kuitoa hiyo 270k kwa wakala wala haifika hata 3k.Hii 270,000 kutuma straight bank, na kuitoa kwa wakala kuna tofauti gani ya makato? Then uchome mafuta au nauli kwenda bank. Hapo bado ukifika bank kuna foleni na kupoteza muda!
Inabidi uchague gharama au convenience