Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Sio bora. Fanya mahesabu yako vizuri. Ukitoa kwa wakala hio 270,000 unakatwa kiasi gani?Balaa kabisaa. Na ndio unakuta huna jinsi paymentninabid ifanyike kwa bank. Na ni mida mibovu hakuna huduma wakat huo.
Maana kwa mfano haya makato ya 6500, hiyo ni bora ukatoa kwa wakala kisha ukaenda kutuma kwa wakala wa bank, makato hata hayakaribii hiyo oesa wanayokukata ukifanya direct mobile-bank deposit.
Una uhakika?Si lazima kwenda bank, kuna mawakala wengi tu. Kuitoa hiyo 270k kwa wakala wala haifika hata 3k.
Haifiki 4k mkuuSio bora. Fanya mahesabu yako vizuri. Ukitoa kwa wakala hio 270,000 unakatwa kiasi gani?
Mid nakwambia fanya tena kuchunguza then siku yyt utakuja kunijibu kwa uhakikaHaifiki 4k mkuu
Ya Mix by yas iko wapi?What do you know??
View attachment 3306576
Ya Mix by yas iko wapi?
Uzur majibu yako waz tu hata sasa ukitaka kuyapata ni wewe tu. Ingia kwemye site ya Yas wenyeweMid nakwambia fanya tena kuchunguza then siku yyt utakuja kunijibu kwa uhakika
Leta mchanganuo mkuu.Kodi ni ndogo hela nyingi ni makato yao, uwe unasoma mchanganuo. Hao ndio wanyonyaji aliowakataa baba wa Taifa, ubepari ni unyama ndg. Wanavuna bila kupanda na ili kuwapofusha serikali kila shughuli ya serikali wao ni wafadhili hasa CRDB. CRDB ni majambazi
Sasa si uweke huo mkeka mbona unafanya mambo yawe magumu ndugu?Una uhakika?
Sina huo mkeka. Nataka uhakika tu, ili na mie nijue urahisi uko wapi? Mana mie mdau mkuwa sn wa kuhamisha pesa from simu to bank and vise-verseSasa si uweke huo mkeka mbona unafanya mambo yawe magumu ndugu?
Shukraan snView attachment 3306593
Utagundua hazina tofauti sana tena kwa Mixx by Yas kidogo zime drop japo kwa refference hiyo ya kutuma pesa, hawajaweka column ya kutoa but you can tell such a correlation based on withdrawal charges uki compare na Tigo. Mambo ni yale yale tu Tigo ndio Yas hata sijui una complicate kitu gani
Sasa hivi kuna Selcom Pesa hauna haja ya kwenda mbali kuna mawakala wa Selcom kila kona, na makato ni madogo sanaaaa. Pakua hapo kisha utanipa feedback Selcom Pesa. Makato madogo kuliko!Mtihani kweli Mimi Pana siku Ruaha ndani ndani huko ukitaka ATM ili ukatwe elf tatu kutoa hela ni lazima uende Mahenge mjini kwenda na kurudi nauli ni elf 20 kwa boda au elf 7 kwa mshikaki sawa na elf 14,nikicheck gharama za boda na kuhamisha kwa simu tofauti ni elf 3 nikawa sina jinsi kuhamisha kwenye simu network yenyewe niliifata juu ya mlima kule mtandao ni mmoja tu halotel halopesa kupanda mlima nusu saa,kwenda na kurudi kwenye ATM Mahenge masaa matatu.
Kwa uharaka wa pesa nikawa sina option ya kuchoma zaidi ya elf 20 ili kupata pesa kwa process mbili.
Yaani kuhamisha pesa toka bank kwenda simu wakalamba,
Kutoa pesa kwa wakala wakalamba elf sita.
Watumishi wa vijijini wanapata sana tabu kwenye ishu za miamala.
Ukiwa na Selcom Pesa unaachana kabisa na makato kausha damu. Tena kuna ofa ya miamala 5 kwa jero tu mpaka raha yani. Download hapo kisha utakuja hapa kutusimulia Selcom Pesa. Makato madogo kuliko!.Same applies, kwanini kuhamisha pesa ndani ya mtandao ada ni ndogo kuliko kuhamisha mtandao mmoja kwenda mwingine!
Wale wachuni nguli huwezi sikia wakiongelea hizi mambo kwa kuwa yule tozo master anajuamadokezo anayoandikagaNi ngumu sana kuwaelewa, na hawajawahi tolea ufafanuzi hata siku moja!
Je unaijua hii nchi vyema? Unaponadi bidhaa uwe na uelewa ili kutowakwaza wateja tarajaliUkiwa na Selcom Pesa unaachana kabisa na makato kausha damu. Tena kuna ofa ya miamala 5 kwa jero tu mpaka raha yani. Download hapo kisha utakuja hapa kutusimulia Selcom Pesa. Makato madogo kuliko!.
Fatilia tovuti zao Selcom Pesa. Makato madogo kuliko! na jaribu Selcom Pesa ujionee mwenyewe. Kwa kile wanachokielezea na miamala yao kwa jinsi ninavyotumia aisee jamaa wapo vizuri.Je unaijua hii nchi vyema? Unaponadi bidhaa uwe na uelewa ili kutowakwaza wateja tarajali