Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?


Jaribu kutumia Selcom pesa, ni akaunti ya kidigitali ya kibenki inayokuwezesha kufanya shughuli zako za kifedha kama kutuma na kupokea pesa,
  • Kulipia bili (umeme, maji, ada n.k.)
  • Kununua muda wa maongezi
  • Kuweka na kutoa pesa kupitia mawakala
  • Kufanya manunuzi kwa QR code au njia nyingine za kidijitali, kwa
makato madogo kuliko mtandao wowote au benki yoyote.
 
Jaribu Selcom Pesa, Hutojutia, kwani unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Selcom Pesa bila makato yoyote ya mwezi, Pia gharama za kutuma pesa kwenda mtandao wowote au benki yoyote ni madogo kuliko mtandao wowote au benki yoyote, pia unaweza kulipia bili za maji , umeme,kununua muda wa maongezi bure kabisa.Pia unaweza kulipa kupitia Selcom pesa kwenda kwenye lipa namba ya mtandao wowote wa simu kwa makato nafuu.
 
Nadeposit wapi hela, mna mawakala?
 
Ndani ya huu mwezi mmoja nimetumia sana Simbanking kama hali ndo hiyo nahisi watakua wamenikata hata laki mbili kuhamisha miamala, asante kwa kunishtua .
 
Je unaijua hii nchi vyema? Unaponadi bidhaa uwe na uelewa ili kutowakwaza wateja tarajali

Jionee makato ya Selcom Pesa, kwa miamala ya kutuma pesa kwenda mtandao wa simu na benki yoyote au lipa namba. Selcom pesa ina makato madogo kuliko.
 
Selcom Pesa wamekuja kiutofauti, unaweza kupakua app yao kupitia appstore au playstore, na unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako bila makato yoyote ya kila mwezi, na kufanya shughuli za kifedha za kila siku kwa makato madogo kuliko mtandao wowote au benki yoyote.
 
hata wewe mkuu, ukijiokotea liinchi la *******, na majitu yake ni kama mazombi,..we yapige bila huruma, mpaka yaje yashtuke, uko mbali sana,.......
 
Sasa mkuu nikitumia hii pesa zangu nitazipataje?
 
Mkuu tayari nina Selcom miezi sasa, natumia bando la mwezi 10,500!
 
hivi app yao huwa unaitumia? hukutani na changamoto yoyote ile? au kwangu tu? 🤔
Sijawahi kukutana na changamoto isipokuwa siku moja nilituma pesa kwenda NMB na risiti nilipata lakini kumbe pesa haikufika ukirudi muda uleule.
 
Sijawahi kukutana na changamoto isipokuwa siku moja nilituma pesa kwenda NMB na risiti nilipata lakini kumbe pesa haikufika ukirudi muda uleule.
unatumia kila siku hiyo app? mimi nina salio ila nikitaka kutuma naambiwa sina salio la kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…