Huu ni uharibifu wa pesa na muda na kutafuta lawama.Kama umependana na mwenzako nenda kwa viongozi wakufungishe ndoa.Sio lazima sherehe.Tunaendekeza mambo ya ajabu tunaacha ya msingi.Ndoa siyo sherehe,tuzingatie mambo ya muhimu kuwaza maisha baada kufunga ndoa.Ila kama una pesa waite wenye pesa wenzako wakuchangie sio unatuunga kwenye grouup kila anayekusalimia.