Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Africans, we are poor, lakini we are acting rich.
Kwamba unaogopa kusemwa?
Unaogopa kuitwa masikini?
Unaogopa lawama za kutoarika watu?
Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea?
Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo?
Muda mwingine hadi tunageuka kero pale tunapokuwa tunapigia simu ndugu na jamaa lakini bado tumo tu.
Labda nikitolea mfano wazungu utasema nimeenda mbali mno basi Siku moja uje ufungue TV uangalie harusi za ndugu zetu wakenya jinsi zilivyo simple.