Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
NHIF ukiwaedekeza Kama una kakituo kako, utafirisika asubuhi tu.
Mfano:
Kidonge Cha Paracetamol, wao wanalipa Tsh 20 kimoja.
Magnesium, Chlorpheni Tsh 10 kwa kidonge.
Wound dressing/stitches Tsh 2000.
Na bado ukitoa huduma nusu ya Pesa utakadai ITAKATWA utapewa nusu kwa vijisababu kibao.
Sasa ukikomaa nao, ndani ya miezi 6 tu utajikuta hata pesa ya KULIPA DAWA au kulipa wafanyakazi HUNA.
Umetahadharishwa unasema nimekutisha😂😂😂, chief tufanye umeshinda sawa braza.
Sawa braza😂😂😂Siyo tu kuwa nimeshinda ila hamko na majibu. Mama kasema mtoke mlikojificha mtoe majibu.
Huyo ni mmiliki wa dispensaryAcha kutetea ujinga, hospital nyingi Hasa private kujiendesha kwao wanategemea NHIF..so Kama wanaona pesa hailipi wachukue wateja wa cash ndan ya mwezi watafunga huduma..ndo maana wanakuwa wajanja janja..
Makaratasi hayajaondolewa ila risiti unapataOooh mmeondoa mfumo wa zamani wa makaratasi?
Mf nimeenda hospital wakanipa dawa bila kunitibu, dawa zenyewe ni za 10000 ila nikatumiwa ujumbe nimetumia 300,000 hapo inakuwaje?
Private kubwa wanakula MICHONGO na wafanyakazi wa NHIF wandai pesa kubwa halafu wanagawana. Wala wewe takataka mwanachama hujui kitu.Acha kutetea ujinga, hospital nyingi Hasa private kujiendesha kwao wanategemea NHIF..so Kama wanaona pesa hailipi wachukue wateja wa cash ndan ya mwezi watafunga huduma..ndo maana wanakuwa wajanja janja..
Hyo ni agha khan ya wapi...au Peponi huko. Acha kusikiliza radio mbaoo.. me ni mwaka agha khan tunapokea hyo bima bila shida.. ni moja ya Bima inayotupa pesa nyingiMfano, Agha Khan hawapokei NHIF Kwasababu ni kibima takataka kabisa
Pole Kijana kumbe ndio uko hapo?
Pole sana bintiPana kuhusu. Hiyo ni kukupa mwongozo tu kabla hujachelewa.
He Bora huko mnapewa hata hayo makaratasi Mimi hospital ninazoenda napewa ki mashine nisign,nilikuwa nawaza Jambo Kama hili
Nimegundua huna akiliHyo ni agha khan ya wapi...au Peponi huko. Acha kusikiliza radio mbaoo.. me ni mwaka agha khan tunapokea hyo bima bila shida.. ni moja ya Bima inayotupa pesa nyingi
Braza usiargue na watu, hawataweza kuja kukuelewa😂😂😂 mtandaoni maana Tanzania kwa conspiracies hawajambo.Hyo ni agha khan ya wapi...au Peponi huko. Acha kusikiliza radio mbaoo.. me ni mwaka agha khan tunapokea hyo bima bila shida.. ni moja ya Bima inayotupa pesa nyingi
hii nimekwenda jana konondoni hospital pale mambo yote online aisee safiSio kila daktari anayekuona anajua bei ya dawa/huduma aliyokupa zilizoko kwenye mfumo wa NHIF
Hospital nyingine tayari wameunganishwa online ukisaini maana yake na gharama zimepigwa papo hapo automatic
Sasa ukija kwenye hizi hospital zetu za Serikali bado changamoto ni kubwa ya watendaji kwa upande wa bima, mtu anayeingiza madai kwenye mfumo unakuta ni mmoja anazikusanya anaingiza mara moja moja sana.
Ila yote kwa yote NHIF hawajui majukumu yao ukija kwa ngazi ya vituo vya kutolea huduma wako ofisini kusubiri waletewe madai mwisho wa mwezi wakati watendaji huku chini wa bima hakuna na hata ku-organize mambo na kituo ili hizi changamoto zitatulike.
Hyo ni agha khan ya wapi...au Peponi huko. Acha kusikiliza radio mbaoo.. me ni mwaka agha khan tunapokea hyo bima bila shida.. ni moja ya Bima inayotupa pesa nyingi
Hakuna Cha risiti Wala Cha Nini!hata dawa ulizoandikiwa utaona tu zinatoka dirishani kwa hiyo nesi pharmacist akiamua kukuibia nyingine hujui,wanadai Mambo Ni digitalHalafu karisiti hawatoii??
Na si hilo tu itapendeza meseji za matibabu ziingiazo katika simu zionyeshe aina ya matibabu,dawa na gharama zilizotumika na si kutujulisha tu kuwa kadi yako imetumika tarehe fulani.
Private kubwa wanakula MICHONGO na wafanyakazi wa NHIF wandai pesa kubwa halafu wanagawana. Wala wewe takataka mwanachama hujui kitu.
Mimi nakuzungumzia wewe fisi, Kwasababu mfanyakazi wa NHIF Hana shida yoyote hata Kama NHIF itafirisika, Sasa hivi wanataka KUKUSANYA pesa za Bima ya Afya kwa wote watunishe mfuko. Watu wa NHIF wataendelea kulipana mshahara mkubwa na posho mlima na maadili ya kutosha.
Wewe takataka kabisa na kibima chako mtaanza kukataliwa hospital moja baada ya nyingine na HAKUNA kitu mtafanya
Hutajua wapi wakati kila muamala unaandikiwa na sms unapta.. ni vile tunakosa uzalendo tu wa kutoripoti Kama gharama ni ghushi..we endelea kutukana na Mimi naendelea kukupa notes utakazoweza zitumia Kwa manufaa Yako na kizazi chako.
Pole sana binti