Acha tu mzee baba,na huwaelezi kitu kuhusu CCM,na hao saa 1 asubuhi tayari wapo kwenye mstari kupiga kura.Kweli watu ni choka mbaya, hata t-shirt wanategemea za msaada na wanazivaa miaka 20.
Ni ugogoni nini ?
Unauelewa mchakato wa kutungwa kwa sheria kuanzia muswada kupelekwa bungeni hadi kupitishwa na hatimaye kusainiwa na rais kuwa sheria? Muswada unapatikanaje?Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Bado uhakika hakuna,ngoja tuone matokeo ya uchaguzi huu kisha tutashindanisha na wa 2015,2015 janja janja ilikuwepo lakini kina ka uhuru fulani ka kuhoji kalikuwepo,sasa hivi wanaweza wakatangaza mshindi mgombea fulani hata bila kuhesabu kura.yule mzee akisema nataka hivi sidhani kama kuna mtu atapinga( wasimamizi).usiwaamini mawakala[emoji23][emoji23][emoji23],milion 10 inatosha kumfunga mdomo wakala,tena hata 2 tu sometimes.hali ngumu saivi..Ila ni wachache sana.
Ishtoshe Upinzani unafanya siasa katika mazingira magumu mno lakini, graph inapanda kila mwaka.
Jikite kwenye hoja,ni sahihi NEC kugeuka msemaji wa CCM?
Hii ni sehemu ya uongo ule ule wa Lissu!Uzuri jeshi Ni Mali ya wananchi na si la dikteta.Alifanya vizuri Sana kutowaongezea mishahara ili hasira zao zipande.
Umenigusa Sana na uwezo wako wa kuhoji hasa kwenye swali hili. Kiukweli mwanasheria naomba utumie taaluma yako kuzuia udhalimu huu.Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
Umesahau kuwa Tume katika uchaguzi huu ina mgombea wake aitwaye Jiwe? Wanangoja tu wamtangaze. Lissu amekuwa kikwazo kikubwa sana kwa mgombea wao. Jiwe ndiye aliyewateua kwa kusudi moja tu, kumtangaza yeye na kuwatangaza wale awapendao bila kujali matokeo halali. Sasa hii ya wananchi kuonyesha dhahiri mapenzi yao kwa Lissu inakuwa noma sana kwao!!! Wagombea wengi walioenguliwa ni kwa maelekezo ya jiwe kwa tume yake!Maana ukimsikiliza ananadi kabisa sera za mgombea fulani.
Laiti ungeelewa maana yake. Hakuna wastage of time katika uchaguzi huu.Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23]!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
Ngaja....utajua hujuiLaiti ungeelewa maana yake. Hakuna wastage of time katika uchaguzi huu.
Tulia ujui kinachoendelea watumieni wawageukeHii ni sehemu ya uongo ule ule wa Lissu!
Waaambie waliokutuma wajibu hoja za LisuLissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Hivi unafikiri zile sheria za kinga za Magufuli, Majaliwa na Ndugai zilitungwa na nani ........!!Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
How old are you?Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?