Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Kweli watu ni choka mbaya, hata t-shirt wanategemea za msaada na wanazivaa miaka 20.

Ni ugogoni nini ?
Acha tu mzee baba,na huwaelezi kitu kuhusu CCM,na hao saa 1 asubuhi tayari wapo kwenye mstari kupiga kura.
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Unauelewa mchakato wa kutungwa kwa sheria kuanzia muswada kupelekwa bungeni hadi kupitishwa na hatimaye kusainiwa na rais kuwa sheria? Muswada unapatikanaje?
 
Mkurugenzi Wa tume ameonyesha udhaifu , hapashwi kua mkurugenzi Wa tume ambayo wenyewe wanasema ni huru
 
Ila ni wachache sana.

Ishtoshe Upinzani unafanya siasa katika mazingira magumu mno lakini, graph inapanda kila mwaka.
Bado uhakika hakuna,ngoja tuone matokeo ya uchaguzi huu kisha tutashindanisha na wa 2015,2015 janja janja ilikuwepo lakini kina ka uhuru fulani ka kuhoji kalikuwepo,sasa hivi wanaweza wakatangaza mshindi mgombea fulani hata bila kuhesabu kura.yule mzee akisema nataka hivi sidhani kama kuna mtu atapinga( wasimamizi).usiwaamini mawakala[emoji23][emoji23][emoji23],milion 10 inatosha kumfunga mdomo wakala,tena hata 2 tu sometimes.hali ngumu saivi..
 
Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
Umenigusa Sana na uwezo wako wa kuhoji hasa kwenye swali hili. Kiukweli mwanasheria naomba utumie taaluma yako kuzuia udhalimu huu.

Ikibidi (sijui kama inawezekana) kumfungulia mashitaka kwa niaba ya wananchi.
 
Maana ukimsikiliza ananadi kabisa sera za mgombea fulani.
Umesahau kuwa Tume katika uchaguzi huu ina mgombea wake aitwaye Jiwe? Wanangoja tu wamtangaze. Lissu amekuwa kikwazo kikubwa sana kwa mgombea wao. Jiwe ndiye aliyewateua kwa kusudi moja tu, kumtangaza yeye na kuwatangaza wale awapendao bila kujali matokeo halali. Sasa hii ya wananchi kuonyesha dhahiri mapenzi yao kwa Lissu inakuwa noma sana kwao!!! Wagombea wengi walioenguliwa ni kwa maelekezo ya jiwe kwa tume yake!
 
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23]!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
Laiti ungeelewa maana yake. Hakuna wastage of time katika uchaguzi huu.
 
Mnamshangaa nini Mahera? Wote wanaosimamia uchaguzi walishaambiwa:-
"Nitakupaje gari na mshahara mzuri halafu uruhusu upinzani kushinda?"

Ni matendo ya kujali TUMBO.....Usishangae.
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Waaambie waliokutuma wajibu hoja za Lisu
 
Ni wakati sahihi sasa wa JWTZ kwa kushauriana na TISS kujiweka sawa ktk nafasi zao nyeti. Ni kipindi cha mashaka kutoka kile cha awali cha kumtoa na kumfurumusha Nduli wa nje mpaka kufikia cha sasa cha kumtoa na kumfurumusha Nduli wa ndani.
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Hivi unafikiri zile sheria za kinga za Magufuli, Majaliwa na Ndugai zilitungwa na nani ........!!
 
Hii ni screenshot ya kampeni zinazoendelea kwenye YouTube live channels ninavoandika message hii.
Hihitaji Mkurugenzi wa Tume kutuambia watanzania wanataka nini.
Wao wenyewe wataonyesha kwenye ballot paper.
IMG_20200928_154452.jpg
 
mkurugenzi wa Tume anataka CCM ishinde ndio maana kaanza kutaka midahalo na mgombea kutangaza sera za CCM
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
How old are you?
 
Nadhani hii inaonyesha watanzania wanataka nini
Tume waache tu wapiga kura wachambue mbivu na mbichi.
Kama alivokiri mwenezi Ndugu Polelepole, kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki, CCM ijiandae........
IMG_20200928_155606.jpg
 
Back
Top Bottom