greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Na mkijifanya kuingia barabarani tutawapiga kama paka jizi aliyeiba mboga.Huu moto mwaka huu wasijaribu kucheza nao,watajuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkijifanya kuingia barabarani tutawapiga kama paka jizi aliyeiba mboga.Huu moto mwaka huu wasijaribu kucheza nao,watajuta.
CCM wananufaika na hii katiba ya sasa, why bother..!!.yes ,ukubwa wa madaraka unamfanya achemke kwenye baadhi ya mambo kama hilo la korosho.chombo ambacho nacho kingesaidia kumuweka sawa ni bunge.nalo ndio hivyo halieleweki.kuanzia spika na wabunge tawala wote dhaifu.katiba mpya ni muhimu sana.Ndicho ambacho mgombea wa urais kupitia Chadema amekuwa akisisitiza kinyume na yule anayesema yeye kwake katiba sio kiaumbele.
JPM anafanya maendeleo hiyo ipo wazi ila madaraka na nguvu kubwa aliyonayo inapunguza uwazi na ufanisi. Hata ushauri hapokei, ndio maana kunabmaswala huwa ana prive total failure. Mf sakata la korosgo last year
Tatizo wengi ukizungumzia katiba mpya, haki na uhuru wanaona unataka kuleta fujo.
mijitu km hyo ndo mtaji wa ccmKuwa na akili basi hata baadhi ya masaa mkuu.
Hujui kwamba sheria ndio mgongo wa maendeleo? Hiyo kodi inayokusanywa kwaajili ya maendeleo haikusanywi kwa mujibu wa sheria?
Huo mshahara unaolipwa ofisi unayoifanyia kazi ambayo ndio chachu ya maendeleo yako haulipwi kwa mujibu wa sheria?
Hiyo nyumba uliyopanga au uliyojenga haulipwi Kodi kwa mujibu wa sheria?
Ndiomana sishangai wanaosema wanaccm akili zimelala kwasababu mambo mengine ya wazi kabisa lakini wao wataoppose.
Ndio, kufanya kampeni kwa niaba ya muhusika. Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi sidhani kama ni sawaNamba 4 sheria na taratibu haziruhusu?
Hata Gaddafi,kwa kiburi, aliita waandamanaji mende ila mwisho wa siku alikuja kufia kwenye mtaro.Na mkijifanya kuingia barabarani tutawapiga kama paka jizi aliyeiba mboga.
nyie hamna lolote mnaloweza kulifanya.Hata Gaddafi,kwa kiburi, aliita waandamanaji mende ila mwisho wa siku alikuja kufia kwenye mtaro.
wakati Jiwe kasema wazi swala la katiba kwake halipo ndiyo maana amesubiriwa kwenye sanduku la kura tuone kama atachomokaYes,ndio kulikuwa na jambo la mabadiliko ya katiba n.k,lingeshughulikiwa hili maana yake na tume huru ya uchaguzi ingepatikana,pia ingewezekana Rais kupunguziwa nguvu kwenye baadhi ya maamuzi na machaguzi,na uteuzi wa vyombo kama NEC, kwahiyo sasa katiba mpya ni suala la msingi si tu kwa upinzani, bali kwa watanzania wote. vinginevyo ndio kama hivi yan...
Nadhani utakuwa umepata majibu ya maswali yako.
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
Tanzania hakuna tume ya taifa ya uchaguzi bali kuna tume ya taifa ya upendeleoWakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
Kwani Magufuli anaposema amefuta kodi 99 kwenye kilimo yeye ni Bunge?Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
kwahiyo unasemaje sasa?Imethebitikita tume iko kwa maslahi ya ccm
Haijadhibitisha kwamba ni tumeccm, mkuu, ilisha dhibitishwa tangu tume ilipo undwa! Kilicho dhibitishwa ni kwa ccm wameshikwa pabaya!Imethebitikita tume iko kwa maslahi ya ccm