Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Sheria zote za nchi hii zinatokea serikalini FULLSTOP. Nashangaa kama hujui sheria/katiba inaweza kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo.
 
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
Acha kupiga wewe lakini sisi tutapiga. # Ni yeye#
 
Sheria zote za nchi hii zinatokea serikalini FULLSTOP. Nashangaa kama hujui sheria/katiba inaweza kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo.
Lini sheria iliwahi kuleta maendeleo? Taja nchi moja tu iliyoendelea kwa sababu ya sheria nzuri saaana! Tusifuate mkumbo wa mtu aliyeshindwa sayansi na kukimbilia kukariri vifungu vya sheria. Ipi hiyo iliyozuia maendeleo hapa TZ?
 
Wewe una tatizo la kisaikolojia, hivi ahadi za maendeleo ni zipi? kwani kurekebisha sheria siyo ahadi ya maendeleo?
Yapi? Maendeleo yapatikane kwa kurekebisha sheria! Ipi hiyo? Mwambie atoe ahadi za sayansi na teknolojia, Mwanbie atoe ahadi za elimu bora kwa kila mtu. Sheria, sheria, sheria, nonsense!
 
Acheni kulialia tulieni dawa iwaingie.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Lini sheria iliwahi kuleta maendeleo? Taja nchi moja tu iliyoendelea kwa sababu ya sheria nzuri saaana! Tusifuate mkumbo wa mtu aliyeshindwa sayansi na kukimbilia kukariri vifungu vya sheria. Ipi hiyo iliyozuia maendeleo hapa TZ?
Tatizo ni pale unapofikiria ni sayansi tu ndio muhimu. Katiba ni sheria kwa mfano. Usalama wako unalindwa kupitia sheria. Mali asili zetu zinalindwa kupitia sheria, etc. Kama hujaona umuhimu wa sheria basi tena.
 
Kuwa na akili basi hata baadhi ya masaa mkuu.
Hujui kwamba sheria ndio mgongo wa maendeleo? Hiyo kodi inayokusanywa kwaajili ya maendeleo haikusanywi kwa mujibu wa sheria?
Huo mshahara unaolipwa ofisi unayoifanyia kazi ambayo ndio chachu ya maendeleo yako haulipwi kwa mujibu wa sheria?
Hiyo nyumba uliyopanga au uliyojenga haulipwi Kodi kwa mujibu wa sheria?
Ndiomana sishangai wanaosema wanaccm akili zimelala kwasababu mambo mengine ya wazi kabisa lakini wao wataoppose.
Taja nchi moja tu unayofahamu kwamba iliendelea kwa sababu ya sheria nzuri. Ni ipi hiyo? Ukiitaja nitaelewa una elimu. Au una cheti cha sheria sasa unadhani bingwa wa maendeleo kaja?
Tumia muda kujisomea sayansi kwa manufaa ya ubongo wako. Utaishia kutamani wizi na kesi mahakamani.
 
Elimu yako ni ndogo.

Nani huandaa miswada ya sheria? Nani huwa anaandaa miswada ya marekebisho ya sheria? Ungekuwa na uelewa, usingeuliza ulichouliza.

Sijui jwa nini, wengi wanaotumika kumpinga Lisu, ukisoma tu michango yao, utakuwa huna shaka kuwa au ni watu wenye akili ndogo au elimu ndogo au ni wasaliti wa nafsi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo anayendaa ndo anatunga sheria?
 
Tatizo ni pale unapofikiria ni sayansi tu ndio muhimu. Katiba ni sheria kwa mfano. Usalama wako unalindwa kupitia sheria. Mali asili zetu zinalindwa kupitia sheria, etc. Kama hujaona umuhimu wa sheria basi tena.
Kwa hiyo unaamini bila sheria hakuna usalama, maliasili hailindwi, n.k. Vipi nchi zilizoendelea na hazina hata Katiba ya nchi? Ni wajinga? Vipi Japan iliyoendelea chini ya dikteta? Vipi Korea iliyoendelea chini ya dikteta. Usiwe mtumwa wa kukariri vifungu, dunia huijui!
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha

kama anaona nchi inaenda hovyo asiongee? the fact mnatumia advantage ya watu ambao hawajasoma kuwadanganya haikubaliki
 
kama anaona nchi inaenda hovyo asiongee? the fact mnatumia advantage ya watu ambao hawajasoma kuwadanganya haikubaliki
Hawajui hata majukumu ya Tume. Ukitaka waelewe waulize umuhimu wa refa, maana wote kila siku ni yanga na simba tu.
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Kwani wewe unayapenda anayofanya na lissu? Acha kujitoa ufahamu amani ya nchii hii ni muhimu kuliko vyama hivyo mnavyopigania
 
Hawajui hata majukumu ya Tume. Ukitaka waelewe waulize umuhimu wa refa, maana wote kila siku ni yanga na simba tu.
icho chama chenu kifutwe tu maaana nec haiwapendi, polisi haiwapendi, wananchi hawawapendi, mahakama haiwapendi sasa mtafanya nn cha ziada
 
Hivi yule mkurugenzi si Ni Dr?
Maana anavyi-act hata mtu wa darasa la saba hawezi fanya namna hiyo.
 
Mkurugenzi anachukia ilani ya Chadema

Kweli hatuna tume pale, tuna genge la makada wa CCM wapo kwa ajili ya kazi maalum
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?

..Raisi wa Tz huwa "analiendesha" bunge.

..Pia sheria zetu zinasema Raisi ni sehemu ya bunge.
 
Back
Top Bottom