Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

kumbuka hilo ziwa liko nchi tatu je wana fikra za kibinafsi kama zako? na likiitw jina la asili nn kitabadilika utanufaika na mn direct au ni kubwabwaja kusiko na mshiko
Kenya na Uganda linaitwa Nyanza, Tanzania huko Usukumani pia linaitwa Nyanza
 
Hivi unajua hata Tanganyika na Zanzibar ni wazungu ndio waliziita hivyo?
Sio kweli, hayo majina yalikuwepo muda mrefu kabla ya ukoloni. Walichofanya ni kuyaweka kuwa rasmi.
 
Sio kweli, hayo majina yalikuwepo muda mrefu kabla ya ukoloni. Walichofanya ni kuyaweka kuwa rasmi.
Kabla ya wakoloni kulikuwa na nchi inayoitwa Tanganyika au Zanzibar?
Jina la Africa lenyewe ni Wakoloni waliita hivyo
 
Kabla ya wakoloni kulikuwa na nchi inayoitwa Tanganyika au Zanzibar?
Jina la Africa lenyewe ni Wakoloni waliita hivyo
Ndio nakuambia hayo majina hawakutunga, waliyakuta na kuyafanya rasmi baada ya mgawanyo wa ardhi.
 
Pekua pekua yangu imeonyesha kuwa ziwa hilo kwa upande wa Tanzania lilifahamika kama "Nyanza Kerewe". Sijui kwa upande wa Kenya(Kisumu) Uganda na Bukoba liliitwa jina gani. Jumuia ya Afrika Mashariki kupitia hawa wabunge wanaochaguliwa sasa, waangalie namna ya kubalilisha hilo jina kama ishara ya uasi kwa Mfalme wa sasa wa Uingereza ambaye amejipambanua wazi wazi kama mbaguzi hasa kwa watu wenye asili ya Afrika.
Kisumu hujawahi kusikia unaitwa ni mkoa wa Nyanza, Luo Nyanza
Hata Uganda pia linafahamika kama Nyanza
 
Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.

Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Lirudishwe.
Hatuwezi iita Marehemu Ziwa Victoria.
Azikwe na ukoloni wao.
 
Zanzibar ni jina limetokana na kabila gani na linamaanisha nini?
Zanzibar hilo limekuja na waarabu miaka mingi kabla ya ukoloni.

island off East Africa, from Zengi, name of a local people, said to mean "black," + Arabic barr "coast, shore." Related: Zanzibari
 
IDD AMIN alikataa huo upumbavu na akabadilisha maziwa, Milima na Barabara zote zenye ubini wa kizungu kule Uganda na kushauri Viongozi wote wa kiafrika wafanye hivyo.

Mobutu Sesesseko alimuunga IDD AMIN mkono

Kwa mfano:

mwaka 1973

Lake Albert ikaitwa Lake MOBUTU

Lake Edward (aliyekuwa Prince na Mtoto wa Queen Victoria) ikaitwa Lake IDD AMIN

Baada ya vita vya IDD AMIN mwaka 1979, majina yakarudi tena kuwa yale ya Wazungu.
Kwa hiyo Idd Amin na Mobutu ndio viongozi tunaotakiwa kuwa nao Africa sio?
 
Zanzibar hilo limekuja na waarabu miaka mingi kabla ya ukoloni.

island off East Africa, from Zengi, name of a local people, said to mean "black," + Arabic barr "coast, shore." Related: Zanzibari
So kwa hiyo si ni jina la wakoloni pia sio? Au waarabu sio wakaloni
 
So kwa hiyo si ni jina la wakoloni pia sio? Au waarabu sio wakaloni
Huoni kwamba hilo jina ni mixture ya matumizi yaliyokuwepo ya local blacks na idea ya coast lakini kwa kutumia lugha ya kiarabu?
 
Sasa si jina la kiarabu? Ni neno la kiarabu
Lugha moja kuchukua maneno ya lugha nyingine sio ishu kubwa. Ukiangalia kiingereza maneno mengi ni ya kigiriki.

Zanzibar limetokana na tafsiri ambayo ilihusisha mazingira halisi na halikuwa jina la mtawala wa kiarabu.
 
Yaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
Sehemu ya kwanza duniani kuendelea kwa teknolojia ilikuwa ni Africa pale misri ambapo badae ikasambaa duniani kote Ila usiseme wazungu walileta Ila wao walichofanya n kuandika vibaya kuhusu historia ya afrika na kuliita bara Giza kuwa wao ndio wameleta maendeleo, wanasema kulikuwa hakuna watu wao ndio chanzo Cha watu na kuleta ustarabu Ayo n maneno ya seligman.
 
IDD AMIN alikataa huo upumbavu na akabadilisha maziwa, Milima na Barabara zote zenye ubini wa kizungu kule Uganda na kushauri Viongozi wote wa kiafrika wafanye hivyo.

Mobutu Sesesseko alimuunga IDD AMIN mkono

Kwa mfano:

mwaka 1973

Lake Albert ikaitwa Lake MOBUTU

Lake Edward (aliyekuwa Prince na Mtoto wa Queen Victoria) ikaitwa Lake IDD AMIN

Baada ya vita vya IDD AMIN mwaka 1979, majina yakarudi tena kuwa yale ya Wazungu.
Lake mobutu tena ila huyu jamaa naye alikuwa binafsi

Ova
 
Qeen Victoria

Victoria dar pia qeen alikuwa na sehemu yake

Ova
 
Back
Top Bottom