Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😁😁😁Ziwa kwa maana ya titi au ziwa la maji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Ziwa kwa maana ya titi au ziwa la maji?
Hivi unajua hata Tanganyika na Zanzibar ni wazungu ndio waliziita hivyo?Jina la kujipa mwenyewe sio sawa na lile ambalo rasilimali yako ya kudumu inapewa na mtu aliyeua mababu zako.
Kenya na Uganda linaitwa Nyanza, Tanzania huko Usukumani pia linaitwa Nyanzakumbuka hilo ziwa liko nchi tatu je wana fikra za kibinafsi kama zako? na likiitw jina la asili nn kitabadilika utanufaika na mn direct au ni kubwabwaja kusiko na mshiko
Kabla ya wakoloni kulikuwa na nchi inayoitwa Tanganyika au Zanzibar?Sio kweli, hayo majina yalikuwepo muda mrefu kabla ya ukoloni. Walichofanya ni kuyaweka kuwa rasmi.
Kisumu hujawahi kusikia unaitwa ni mkoa wa Nyanza, Luo NyanzaPekua pekua yangu imeonyesha kuwa ziwa hilo kwa upande wa Tanzania lilifahamika kama "Nyanza Kerewe". Sijui kwa upande wa Kenya(Kisumu) Uganda na Bukoba liliitwa jina gani. Jumuia ya Afrika Mashariki kupitia hawa wabunge wanaochaguliwa sasa, waangalie namna ya kubalilisha hilo jina kama ishara ya uasi kwa Mfalme wa sasa wa Uingereza ambaye amejipambanua wazi wazi kama mbaguzi hasa kwa watu wenye asili ya Afrika.
Zanzibar ni jina limetokana na kabila gani na linamaanisha nini?Ndio nakuambia hayo majina hawakutunga, waliyakuta na kuyafanya rasmi baada ya mgawanyo wa ardhi.
Lirudishwe.Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Zanzibar hilo limekuja na waarabu miaka mingi kabla ya ukoloni.Zanzibar ni jina limetokana na kabila gani na linamaanisha nini?
Kwa hiyo Idd Amin na Mobutu ndio viongozi tunaotakiwa kuwa nao Africa sio?IDD AMIN alikataa huo upumbavu na akabadilisha maziwa, Milima na Barabara zote zenye ubini wa kizungu kule Uganda na kushauri Viongozi wote wa kiafrika wafanye hivyo.
Mobutu Sesesseko alimuunga IDD AMIN mkono
Kwa mfano:
mwaka 1973
Lake Albert ikaitwa Lake MOBUTU
Lake Edward (aliyekuwa Prince na Mtoto wa Queen Victoria) ikaitwa Lake IDD AMIN
Baada ya vita vya IDD AMIN mwaka 1979, majina yakarudi tena kuwa yale ya Wazungu.
So kwa hiyo si ni jina la wakoloni pia sio? Au waarabu sio wakaloniZanzibar hilo limekuja na waarabu miaka mingi kabla ya ukoloni.
island off East Africa, from Zengi, name of a local people, said to mean "black," + Arabic barr "coast, shore." Related: Zanzibari
Sasa si jina la kiarabu? Ni neno la kiarabuHuoni kwamba hilo jina ni mixture ya matumizi yaliyokuwepo ya local blacks na idea ya coast lakini kwa kutumia lugha ya kiarabu?
Lugha moja kuchukua maneno ya lugha nyingine sio ishu kubwa. Ukiangalia kiingereza maneno mengi ni ya kigiriki.Sasa si jina la kiarabu? Ni neno la kiarabu
Sehemu ya kwanza duniani kuendelea kwa teknolojia ilikuwa ni Africa pale misri ambapo badae ikasambaa duniani kote Ila usiseme wazungu walileta Ila wao walichofanya n kuandika vibaya kuhusu historia ya afrika na kuliita bara Giza kuwa wao ndio wameleta maendeleo, wanasema kulikuwa hakuna watu wao ndio chanzo Cha watu na kuleta ustarabu Ayo n maneno ya seligman.Yaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
Lake mobutu tena ila huyu jamaa naye alikuwa binafsiIDD AMIN alikataa huo upumbavu na akabadilisha maziwa, Milima na Barabara zote zenye ubini wa kizungu kule Uganda na kushauri Viongozi wote wa kiafrika wafanye hivyo.
Mobutu Sesesseko alimuunga IDD AMIN mkono
Kwa mfano:
mwaka 1973
Lake Albert ikaitwa Lake MOBUTU
Lake Edward (aliyekuwa Prince na Mtoto wa Queen Victoria) ikaitwa Lake IDD AMIN
Baada ya vita vya IDD AMIN mwaka 1979, majina yakarudi tena kuwa yale ya Wazungu.
Basi liitwe ziwa Nyanza, tuachane na Victoria mazima.Kisumu hujawahi kusikia unaitwa ni mkoa wa Nyanza, Luo Nyanza
Hata Uganda pia linafahamika kama Nyanza