Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

Mkuu tabia za kinyonge ndio zipi hizo?
 
"Penye riziki hapakosi fitina" - Wahenga
 
Kama ni demu muombe mechi
 
Hii ni dunia nzima, binadamu ni kiumbe mbinafsi tangu alipoikanyaga dunia kwa mara ya kwanza. Haya mambo ya chuki makazini yanatokea duniani kote!
Waafrika tunaongoza kwachuki na ubinafsi.Kuna taasisi fulani watumishi wanafukuzana kazi kwasababu za chuki,majungu, na fitina zakijinga.Kuna ofisi zingine ukinunua ata kagari ka mkopo wanakuchukia.
 
Siyo kazini tu, hata kwingine uadui ni mkubwa
  • Ingia siasa - utaona
  • Kuwa mkulima mzuri - utaona
  • Biashara - utaiona
Kila eneo uadui upo (first impression mkuu)
Kama nyie waha nduo mna Roho mbaya sana. Niliishi nanyi kakonko, Aiseeeee.

Kuna mmoja nilifanya naye kazi anaitwa Lucas Haga, Dahh yule jamaa ana roho mbaya sana.
 
Waafrika tunaongoza kwachuki na ubinafsi.Kuna taasisi fulani watumishi wanafukuzana kazi kwasababu za chuki,majungu, na fitina zakijinga.Kuna ofisi zingine ukinunua ata kagari ka mkopo wanakuchukia.
Halmashauri huko ndio kuna majungu ya namna hiyo. Umeshawahi ishi na wahehe wewe? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…