Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Uko sahihi.

Na katiba iko wazi kwamba makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais ili kumalizia kipindi kilichobakia kwa awamu ile.
Mkuu katiba imezungumza kipindi na wala haijaspecify awamu mahala popote pale.....
 
Hajaapishwa kuendelea bali kutawala
Ni vyema kutofautisha kati ya awamu na muhula ili usipate mkanganyiko;

1. Kuingia kwa serikali na Rais mpya madarakani ni awamu nyingine...

2. Awamu moja ina mihula miwili.

3. Ukomo wa awamu ya utawala unaenda sambamba na ukomo wa muhula.

Kwa mantiki hiyo, Rais anaweza akatawala kwa muhula mmoja awamu fulani ama mihula miwili, akishindwa kuendelea na muhula mwingine kwa sababu za kikatiba na serikali mpya ikaingia madarakani, basi itahesabika awamu nyingine.

Awamu ni ile ile tu kama Rais ni yule yule.

Ukomo wa muhula/mihula wa utawala ni mwisho wa awamu ya utawala na mwanzo wa awamu nyingine.

Yatosha kusema, ukomo wa muhula wa utawala wa Magufuli ndiyo mwisho wa awamu ya tano na mwanzo wa awamu ya sita ya Mama Samia.
 
So akitokea akafariki..ghafla..Mpango atakuwa Rais wa Saba katika awamu ya Saba sio!?
Ujinga mtupu ..Yani majitu nmnakomaa kwa kitu ambacho kipo wazi ..awamu Gani inakuwa na miaka minne..ama Tisa!?

Pole tu kwa Kuwaelimisha Wapumbavu.
 

Fanya upesi uwahi Mirembe ukatibiwe.
 

Kichwani mwako zimetimia sawa sawa?
 
Nyerere aliongoza awamu ngapi dogo?
 
Ok mkuu
 
Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pil
 
Sawa
 

Nikieleweka na Watu ( Members ) ambao ni Werevu ( Intelligent ) kama Wewe na Wenzako baadhi hapa huwa ninafurahi sana tu.

Nasikitika kuna baadhi ya Watu hapa wanajiita Wasomi lakini Jambo dogo tu hili wameshindwa Kulielewa na hata Kulichambua.

Kama Rais Samia ataendelea Kusema ( Kusisitiza ) Yeye ni Rais wa Awamu ya Sita nitaamini kuwa ana IQ Ndogo na nitamdharau pia.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita katika Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake ( wa mwisho ) wa Pili.


Nimemaliza.
 
Mzee..hivi mnasomaga katiba kama.kitabu cha hadithi ama gazeti!? ..embu Rudi tena kasome katiba vyema kipengele cha endapo Rais atafia madarakani na namna ya kumsimika Makamu wake kuwa Rais ndipo utaelewa usiyojua..
Okey.
 
Zanzibari sio Nchi
Rejea Mzingo Pinda HUTUBA YAKE bungeni
 
Pole tu kwa Kuwaelimisha Wapumbavu.
Fanya upesi uwahi Mirembe ukatibiwe.
Ondoa Funza waliomo Kichwani mwako.
Inaonekana umeuliza swali ukiwa na jibu lako kichwani .

Hebu nikuulize awamu ya tatu ya A H Mwinyi - Zanzibar aliongoza kwa chini miaka miwili . Alirithi wabunge na mawaziri wa Alhaji Aboud Jumbe na wabunge 1984- 1985. Lakini si ni awamu ?!. Jumbe pia alirithi wabunge na mawaziri wa Sheikh Karume bila uchaguzi , lakini si ni awamu ya pili Zanzibar ?!.

Sasa kosa la Mama Samia kurithi Bunge na mawaziri wa awamu ya tano na kuhamia nao awamu ya sita Tanganyika iko wapi ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…