Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Unauliza maswali yako unajijibu mwenyewe, nimezungumzia ilani ya 2020 ambayo ndio Samia anaimalizia toka kwa mwenzake sio ya 2015, na zaidi Katiba inasema Rais atakapofariki makamu wake atamalizia kipindi kilichobaki, sasa kama huyu anamalizia kipindi kilichobaki hiyo awamu mpya inatoka wapi? huyu anamalizia kipindi kilichobaki kwenye awamu ya mwenzie.
 
YAANI UNAKSA MYAMUHIMU KUYATAFAKARI WEWE UNA DEAL NA ISSUE NDOGO KAMA HII YA AWAMU YA NGAPI SIJUI ? HIVI HUNA VINGINE VYA MAENDELEO VYA KUFIKIRIA?
 
Wewe umesema anatumia Ilani ya mwenzake nimekwambia toka lini ilani ndio imekuwa awamu?
 
Wewe umesema anatumia Ilani ya mwenzake nimekwambia toka lini ilani ndio imekuwa awamu?
Rais gani alieingia madarakani na ilani ya mwenzake? nitajie mmoja, nakuona una hofu na mambo ya kugombea 2025 ndio maana unakataa asiitwe wa awamu ya tano.
 
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Rais gani alieingia madarakani na ilani ya mwenzake? nitajie mmoja, nakuona una hofu na mambo ya kugombea 2025 ndio maana unakataa asiitwe wa awamu ya tano.
Ilani ni ya chama hakuna mtu ana ilani yake hata haya mambo kama ya terminal 3 au barabara za ubungo yalikuwa kwenye ilani wakati wa JK na JPM akamalizia. kuweka mambo sawa nadhani 2025 ndio inakukera wewe mimi na uraisi wapi na wapi CCM tu sio chama changu wala sina chama sasa umeongelea wewe linalokutia hofu 2025 sio mimi na Mama kishawaonya na akishika kijiti ndio fagio litapita hata JPM aliwaonya mtu ndio kachaguliwa tu watu wameanza kampeni 2025 alionya Chamwino na Mama katoa neno mbona wanajulikana tu ni timing tu
 
Nina mawazo kama yako mkuu
 
Tufanye raisi wa sita. Mambo ya awamu kwanza hayapo kwenye katiba, katiba inaeleza vipindi vya miaka sio awamu. Awamu ni jina lililetwa nafikiri 1985 kama sikosei na ccm.

Angalia ulivyo Juha ( Fool ) hivi siyo Wewe ambaye katika posts zako za Awali katika Uzi huu huu ulikuwa Unabisha na Ukweli tuliokupa?

Sasa inakuwaje sasa hivi unaanza Kulainika na Kubadilika Kinafiki hivi? Tafadhali endelea Kuuamini tu ule Upumbavu wako sawa?

Nasisitiza Kwako tena kuwa Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita katika Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa mwisho ( wa pili )


Nimemaliza.
 

Another Insane.
 
Hivi vichwa mnabebea akili ama maji?
Easy katiba katika ibara ya 37 (5) na ibara ya 40 umetoa maelezo mazuri Sana.
Sasa sijui kwa Nini awamu ya tano hamuelewi Kama Isha Isha. Seee kwa kindali

Another Wacky.
 
Ukweli tupo awamu ya tano,sio ya sita,hatujafanya uchaguzi,ila yeye ni rais wa sita ktk awamu ya tano,
 

Nafurahi kukutana na Brainiac Member kama Wewe hapa Jamiiforums. Heko ( Kongole ) Kwako Ndugu.
 
ni bora uombe kuelekezwa awamu hazitokani na chama kilichopo au serikali bali tunatumia awamu kuangali Rais aliyeko madarakani ni wangapi.Tungeangalia vipindi basi pengine tungelikuwa awamu hata ya kumi maana mwinyi mkapa na kikwete wametumia miaka 30 jumlisha ya JPM ni 35 ukigawanya na 27 ya baba wa taifa.Ni bora uombe kuelemishwa kuliko kuleta hoja dhaifu.Samia ni Rais Kamili kwa mujibu wa sheria na katiba.
 
Samia Suluhu Hassan : Defacto President was awamu ya 5 ???
JPM: Late President
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…