Yaani we ndo unazidi kuchanganya mafaili.Awamu moja maana yake ni rais mmoja.
Wakiwa kumi Hizo ni Awamu kumi.
Hii ni Awamu ya sita ya muhula wa tano wa urais.
Duniani kuna mambo mengi ya kujua na kujifunza...sio lazima yote uyajua unatakiwa uchague yanayokuhusu na yenye tija kwenye hatma ya harakati zako.............sasa huyu kutaka kujua hii AWAMU ya ngapi inamsaidia nini🤓🤓
Yaani we ndo unazidi kuchanganya mafaili.
Awamu moja ina mihula mingapi?Tuko awamu ya tano muhula wa pili.
Sio mbaya awamu moja kuwa na maraisi wawili
Ya 6Kwa hiyo katiba ingekuwa inataka rais akifa ufanyike uchaguzi mwingine je samia angekuwa ni rais wa awamu ya ngapi?
Hii Ni awamu ya sita ndio , mfano mwaka jana Kama ingetokea Tundu Lissu kashinda urais na kuwa rais wa JMT angekuwa rais wa awamu ya ngapi?Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.
Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.
Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
So kwa hiyo samia upo uwezekano akawa rais kwa Muda wa miaka jumla 14.Ya 6
Na mapaka shume lazima yaondoleweAwamu ya Tano ishaondoka na Mwendazake, sasa tupo awamu ya 6 - Tunasafisha banda letu mikunguni, chawa, utitiri, viroboto, sisimizi, papasi kibao...... Maza piga kazi !!
kweli Mkuu, yaliyokuwa yanatuwangia usiku tunakosa usingizi !!Na mapaka shume lazima yaondolewe
Yalikuwa na kelele sana
Sasa hivi yana piga kelele tu usiku na mchana ila hayana madhara tenakweli Mkuu, yaliyokuwa yanatuwangia usiku tunakosa usingizi !!
Sasa awamu na kipindi kuna tofauti gani?Mkuu katiba imezungumza kipindi na wala haijaspecify awamu mahala popote pale.....
kijana huna adabu, tii na kufuata yanayosemwa na mama yako, awamu ya tano ilishakufa na kuzikwa hii ni awamu ya sita.Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.
Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.
Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Hujui kitu halafu umejaa ule utoto wa kujimwambafai.Liangalie hili Bumunda lingine. Kwani kama hamna IQ Kubwa si mnyamaze tu au muwe Watazamaji kuliko Kukurupuka hivi?
Nasisitiza Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa mwisho ( wa pili )
Nimemaliza.
Nimeipenda hii[emoji106][emoji123][emoji2935]Bashiru na Polepole walimnunua Silinde kwa vipande vya fedha leo wanamuuliza maswali ya Nyongeza hahahaaa
Hii awamu ya 6 kweli
SSH mikumi tena atake asitake
Wewe ndio mwenye akili unayeanzisha uzi kwa masuala yasiyo na tija kwa taifa.Hajawahi kuwa na Akili huyo hapa JF.
Soma katiba vyema.Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.
Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.
Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
In short wewe ni mpumbavu mjinga. Cha ajabu unajitutumuaga humu lakini hakuna asiyekujua.Another Asinine.
Sijui hapo katiba inasemaje lkn inawezekana kama katiba itakuwa bubu, Kama sihasahau katiba inasema rais atahudumu vipindi viwili vya miaka 5, 5 hicho anachomalizia sio chake ni cha mwenzake kwahiyo akigombea 2030 hawezi kukataliwa, na ndio maana tunasema hii hawamu bado ni ya 5 sio ya 6, hapa mama anamalizia ngwe ya mwenzakeSo kwa hiyo samia upo uwezekano akawa rais kwa Muda wa miaka jumla 14.