Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Duniani kuna mambo mengi ya kujua na kujifunza...sio lazima yote uyajua unatakiwa uchague yanayokuhusu na yenye tija kwenye hatma ya harakati zako.............sasa huyu kutaka kujua hii AWAMU ya ngapi inamsaidia nini🤓🤓

Another Half - Baked.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Hii Ni awamu ya sita ndio , mfano mwaka jana Kama ingetokea Tundu Lissu kashinda urais na kuwa rais wa JMT angekuwa rais wa awamu ya ngapi?
Uwe muelewa changamsha ubongo.
Awamu inahesabiwa kwa kupokezana vijiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu ya Tano ishaondoka na Mwendazake, sasa tupo awamu ya 6 - Tunasafisha banda letu mikunguni, chawa, utitiri, viroboto, sisimizi, papasi kibao...... Maza piga kazi !!
 
Na mapaka shume lazima yaondolewe
Yalikuwa na kelele sana
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
kijana huna adabu, tii na kufuata yanayosemwa na mama yako, awamu ya tano ilishakufa na kuzikwa hii ni awamu ya sita.
 
Liangalie hili Bumunda lingine. Kwani kama hamna IQ Kubwa si mnyamaze tu au muwe Watazamaji kuliko Kukurupuka hivi?

Nasisitiza Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa mwisho ( wa pili )

Nimemaliza.
Hujui kitu halafu umejaa ule utoto wa kujimwambafai.

Tafuta wataalam wa kiswahili uweze kuelimishwa.
 
Mh Rais Mama SAMIA SULUHU HASSAN ni Rais wa SITA katika AWAMU ya SITA...
Ingekua Marehemu Magufuli kafari ikiwa bado miaka miwili kwenda kwenye uchaguzi basi MAMA SAMIA SULUHU HASSANI angekua Rais wa Sita kwenye Awamu ya Tano...na kwa sasa ikatokea bahati mbaya Mama SAMIA SULUHU HASSAN akafariki (Mwenyenzi Mungu amuepushe na hilo) miaka miwili kabla ya uchaguzi mwingine basi Dr Mpango atakua Rais wa Saba awamu ya sita.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.

Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita.

Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.

Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.

Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.
Soma katiba vyema.
Ameianza awamu yake ya sita kipindi cha kwanza. Anaruhusiwa kikatiba kutumikia mara mbili pekee.

Kwa kutambua fikra mgando kama zako ndo maana nchi kama Marekani inataja rais wa 46 yaani namba ya yule rais kuingia madarakani.

Acha upoyoyo
 
Another Asinine.
In short wewe ni mpumbavu mjinga. Cha ajabu unajitutumuaga humu lakini hakuna asiyekujua.
Hapo juu kuna mtu alikuuliza, mama Samia ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania au siyo? Kama ni Rais ni wa awamu ya ngapi? Toa jibu hapo. Awamu moja haiwezi kuwa na marais wawili.
 
So kwa hiyo samia upo uwezekano akawa rais kwa Muda wa miaka jumla 14.
Sijui hapo katiba inasemaje lkn inawezekana kama katiba itakuwa bubu, Kama sihasahau katiba inasema rais atahudumu vipindi viwili vya miaka 5, 5 hicho anachomalizia sio chake ni cha mwenzake kwahiyo akigombea 2030 hawezi kukataliwa, na ndio maana tunasema hii hawamu bado ni ya 5 sio ya 6, hapa mama anamalizia ngwe ya mwenzake
 
Back
Top Bottom