Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Kama hujaelewa na hapa basi wewe utakua kichwa maji
Rais Ali Hassan Mwinyi alianza awamu nyingine ya utawala kule Zanzibar baada ya Rais Aboud Jumbe kuondolewa Urais wa Zanzibar kwenye mkutano wa CCM kule Dodoma-hakuna uchaguzi wowote uliofanyika
 
Awamu ya tano kivipi? Hii ni awamu ya sita. Awamu inawakilisha mtu si miaka.

Nyerere awamu ya 1, miaka zaidi ya kumi...
Mwinyi awamu ya 2, miaka kumi
Mkapa awamu ya 3, mikaka kumi
Kikwete awamu ya 4, miaka kumi
JPM awamu ya 5, miaka 5 na miezi miwili
SSH awamu ya 6, haijulikani miaka.......

Still kama awamu ni miaka 10 na si mtu basi Nyerere hajatawala awamu moja hivyo hatukupaswa kuwa awamu ya tano.

Kama hutaki we mbishi tu.
 
We amini utakavyo ila hii ni awamu ya sita
 

..unasema tuko awamu ya 5?

..bado unaamini Magufuli ni raisi wa Tz?
 
Mimi mwenyewe nafaham kuwa tuko awamu ya tano bado, lkn kwakuwa Rais wangu amesema ni awamu ya sita mimi ni nani mpk nimpinge rais wa jamuhur ya muungano wa tanzania.
Ukweli utabaki kuwa mkweli mkuu,hauwezi kubadilika kuwa uwongo.
 

Generalist huwa nafurahi sana Kueleweka na very few Intelligent Jamiiforums Members kama Wewe na Wenzako baadhi hapa ila Wapumbavu na Washamba ndiyo nawaona wengi mno wameuvamia huu Uzi ambao umewazidi Uwezo wao wa Kutafakari na Kuchambua Masuala ( Issues ) kwa marefu na mapana yake.
 
Hao wote uliowataja hapo walipigiwa kura, tuambie Samia alipigiwa kura na nani?
 
Move on ndugu!

Kubali matokea Rais Tuliye naye si yule aliyetwaliwa.

Hii ni Awamu ya Sita.
 
Hao wote uliowataja hapo walipigiwa kura, tuambie Samia alipigiwa kura na nani?
Kuwa raisi wa JMT Kuna njia mbili kulingana na katiba.

1. Kupigiwa kura
2. Kuchukua nafasi kupitia Makamo wa raisi na wote walioorodheshwa na katiba pale raisi anaposhindwa kutimiza wajibu kutokana na kifo au ugonjwa.

Njia zote hizo zinahalalisha kuwa amiri jeshi mkuu.

Kwann unafikiri neno awamu lazima uwe umechaguliwa? Katiba imekuelekeza hivyo?
 
Mimi mwenyewe nafaham kuwa tuko awamu ya tano bado, lkn kwakuwa Rais wangu amesema ni awamu ya sita mimi ni nani mpk nimpinge rais wa jamuhur ya muungano wa tanzania.

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema ukikubali Jambo la Kipumbavu wakati unajulikana ni Mtu Mwetevu basi Wewe ndiyo unakuwa Mpumbavu zaidi hivyo ni wa Kuogopwa kama Ukoma.
 
Pole sana kwa uelewa mdogo.. Mlishakariri kuwa awamu moja basi ni lazima iwe MIAKA 10.. Angalia hapo MWINYI katawala mwaka mmoja tu 1984 had 1985 ikaitwa AWAMU ya tatu na JUMBE alichukua nafasi ya marehem KARUME 1972 ikaitwa AWAMU ya pili.. Hivyo kabla hujapost ujinga TAFAKARI KWANZA
 

Wapishe wenye Akili Kubwa wauchangie Uzi na Wewe Juha pamoja na Majuha Wenzako muweze Kujifunza.

Ndiyo maana ninawadharau kila Mara.
 

Another Moron.
 
Ni wachache sana wenye uwezo wa kuelewa bandiko hili lililowasilishwa kwa akili nyingi.

Ni JF Intelligent Members Wachache sana kama Wewe na Wenzako baadhi hapa ndiyo mtanielewa vyema Generalist Mimi. Ubarikiwe ( Mbarikiwe )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…